Kwa wale walimu wa Geography

Kwa wale walimu wa Geography

Naombeni msaada kwa anayejua vizuri tofauti iliyopo Kati ya Yardangs and Zeugens
Yardangs are features like structures found in desert due to wind erosion in a parrallel way. Mengine jiongoze kwenye Google sio kila kitu JF.
 
Bwana mdogo, tumia vitabu, ingia Google na Youtube usome na uelewe vizuri.

Utakua Form Six wewe.[emoji848]
 
Bwana mdogo, tumia vitabu, ingia Google na Youtube usome na uelewe vizuri.

Utakua Form Six wewe.[emoji848]
Mzee baba Mbona unakimbilia huko tena.. Hapa ni kupata msaada tuu maana hizi features ni Kama pacha.. Zinafanana
 
Nashukuru Kuna mdau kanitumia inbox hii.
IMG_20191029_112053.JPG
 
Mdau wa Geography: Wa kubadilishana anahitajika (wa sekondari) mwenye Geography kutoka Manispaa MTWARA au MASASI (iwe DC au TC) kwenda TANGA JIJI.
Please share
 
Back
Top Bottom