Masters course Muhimbili

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
297
1,000
Wakuu, Mwaka huu nimepata interest ya Kuongeza shule, Nimekuwa na Maono ya kusoma Public health kwa muda mrefu kulingana na kazi nnazozifanya,

Nimejaribu kuingia website ya MUHAS bado hawajafungua application kwa 2021/22 sijajua intake yao huwa inaanza lini.

Nimejaribu pia kuchek gharama za MPH ya mwaka mmoja na ile distance ambayo ni ya miaka miwili sijaona kama wameweka.

Lakini pia optional course ni MASTERS IN BEHAVIORAL CHANGE AND COMMUNICATION FOR HEALTH.

hii pia hawajaweka detail ya duration na Cost.

Kwa mliowahi kusoma course hizi au wenye Taarifa sahihi kuhusu hizi course tusaidiane.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom