Mamu philip
New Member
- Jun 1, 2021
- 1
- 2
Naomba mnijuze wapendwa nataka kujua mfumo wa kuunganisha vyeti vya kidato cha NNE bado upo na kama upo naomba mnitajie sehemu usika nitakayosaidiwa.
Asanteniš
Ongeza maelezo ya kutoshaNaomba mnijuze wapendwa nataka kujua mfumo wa kuunganisha vyeti vya kidato cha NNE bado upo na kama upo naomba mnitajie sehemu usika nitakayosaidiwa.
Asanteniš