Uchaguzi wa TAMISEMI kwenye Selection za Wanafunzi wanaoingia Form 5

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,321
2,000
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti:

1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya selform.
2. Mwanafunzi kafaulu masomo fulani vyema ila anapangiwa tahasusi ambayo hakufaulu vyema.
3. Wanafunzi wenye ufaulu wa division 1 na 2 kupangiwa vyuo vya kati badala ya kidato cha 5 wakati wana tahasusi na hawakuomba.

Na mengine mengi.

Kwenye Hiyo Hoja ya 3 imempitia mtoto wa Dadangu, Kapata DV. 2 cha Ajabu kapangiwa Chuo-NiT, akasome Finance
 
GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,725
2,000
Wengine hatukusoma na hatuna ndugu waliomaliza hiyo elimu,sasa tutapazaje sauti ?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,977
2,000
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI Kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato Cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti:
1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya selform.
2. Mwanafunzi kafaulu masomo fulani vyema ila anapangiwa tahasusi ambayo hakufaulu vyema.
Hii iko hivyo miaka yote.
3. Wanafunzi wenye ufaulu wa division 1 na 2 kupangiwa vyuo vya kati badala ya kidato cha 5 wakati wana tahasusi na hawakuomba.
Na mengine mengi.
.....
Kwenye Hyo Hoja Ya 3 imempitia mtoto wa Dadangu, Kapata dv. 2 Cha Ajabu kapangiwa Chuo-NiT, akasome Finance
Hili ni jipya kwangu. Labda alichagua mwenyewe college iwe first selection.
 
Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
2,138
2,000
Wangeweka mfumo kama wa elimu ya juu wa kuaplai kila shule ya umma na ya binafsi. Mtu mwenyewe anaaplai. Raundi ya 1 mpaka ya 5. Wewe tu na maksi zako. Na hela kidogo ya kuaplaia.

Mambo yote kielektroniki.
 
lugabussa

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
211
250
Nijuacho Ni hichi hata ukijaza chuo iwe second choice na form five iwe Ni first choice kwenye selform inamaana Kama wamechagua wanafunzi wa kujiunga na form five wakatosha na huyo akakosa kulingana na ushindani wa marks au matokeo kulingana na shule aliyoomba na combination aliyoomba Ni lazima apelekwe kwenye chaguo la pili la vyuo kulingana na ufaulu wake katika masomo yake ndio itakua kigezo kwake kupangiwa uko chuoni.

Na Hawawezikani wanafunzi wote waliopata division 1,2 na 3 kupangiwa form five kwa sababu wanafunzi pia Ni wengi ukilinganisha na idadi ya shule hivyo lazima wengine wapangiwe vyuoni.
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,534
2,000
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI Kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato Cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti:
1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya selform.
2. Mwanafunzi kafaulu masomo fulani vyema ila anapangiwa tahasusi ambayo hakufaulu vyema.
3. Wanafunzi wenye ufaulu wa division 1 na 2 kupangiwa vyuo vya kati badala ya kidato cha 5 wakati wana tahasusi na hawakuomba.
Na mengine mengi.
.....
Kwenye Hyo Hoja Ya 3 imempitia mtoto wa Dadangu, Kapata dv. 2 Cha Ajabu kapangiwa Chuo-NiT, akasome Finance
Kuna ndugu yangu mwanawe combi yake ana B zote 3 lakini kapelekwa chuo
kuna shida sehemu
sijui hata tuna apealk wapi
 
Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,321
2,000
Kuna ndugu yangu mwanawe combi yake ana B zote 3 lakini kapelekwa chuo
kuna shida sehemu
sijui hata tuna apealk wapi
Hii nchi ya ajabu sana mwanafunzi kasoma PCM kapangiwa ECA. Jana kaandamana leo wizara inakuja inasema mwanafunzi anauongopea umma hakupangiwa ECA wala PCB bali kapangiwa akasome ualimu
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,093
2,000
Wakuu Kuna jambo la kielimu Hapa. Uchaguzi wa TAMISEMI kuhusu selection za Wanafunzi wanaoingia Kidato cha 5 una tuhuma nzito wadau wa elimu tupaze sauti:

1. Uchaguzi haujazingatia vipaumbele vya selform.
2. Mwanafunzi kafaulu masomo fulani vyema ila anapangiwa tahasusi ambayo hakufaulu vyema.
3. Wanafunzi wenye ufaulu wa division 1 na 2 kupangiwa vyuo vya kati badala ya kidato cha 5 wakati wana tahasusi na hawakuomba.

Na mengine mengi.

Kwenye Hiyo Hoja ya 3 imempitia mtoto wa Dadangu, Kapata DV. 2 cha Ajabu kapangiwa Chuo-NiT, akasome Finance
.
tapatalk_1622917210567.jpg
tapatalk_1622917213459.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom