Je, inawezekana kubadili shule uliyongiwa kidato cha tano?

Nasbr na mm msaada maana nna dogo langu kapangwa ILBORU-Hgl wakt ndoto zake ni kuso,ma PCB, HGL ana point 4 Pcb ana 9
Serikali imempeleka uko ikiwa na maana yake wacha mtu asome alipo pelekwa siku hizi ndoto hazitimii hata ukiota unakunya lazima utastuka uone kama ni kwi
 
Inawezekana ila uwe kmbk serikali co wajinga kukupeleka uko kuna dogo nakmbk nlikuw fm6 yy aliletwa pale schul fm5 hgk akataka kuhama shule na kombi CBG frsh akakubaliw kaenda kule kasoma kidg akarudi tena pale.. sijuh kilimkuta nn
 
Back
Top Bottom