Msaada kuhusu course ya secretarial studies!

Msaada kuhusu course ya secretarial studies!

JosephMagige

Member
Joined
Apr 24, 2021
Posts
6
Reaction score
6
Habari wana-JF nimehitimu kidato cha 4 mwaka jana na nimepangiwa course ya secretarial studies ningependa kufahamishwa kwa wanaoielewa zaidi fursa zake katika kuajiriwa na kujiajiri n.k ntashukuru nikipata msaada wenu wa mawazo na ushauri wowote kwangu, ahsanteni!
 
Matokeo yangu Nina div 3 point 23
Civ-C
Hist-D
Geo-D
Kisw-B
Eng-C
Chem-D
Bio-C
Lit in english- D
B/maths F
 
Mwenye kujua dogo pia kapangiwa iyo ana division 3 Ana C sita na F ya mathematics
 
Back
Top Bottom