Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana? Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4 1...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwanga Mpya Co. Ltd inakukaribisha katika mafunzo ya uandishi wa research/dissertation ambayo yatafanyika kwa siku mbili (Januari 29 na 30) mwaka huu 2022 ndani ya Jiji la Dar Salaam. Gharama ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu, Kuna jambo naomba kusaidiwa, kuna mdogo wangu naishi nae hapa nyumbani nataka kumtoa shule ya kata ya kutwa na kumpeleka shule yoyote ya serikali ya bweni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kujua chuo cha ushonaji nguo ambacho kipo Dar es salaam...? Nawasilisha
2 Reactions
20 Replies
11K Views
Habari zetu wanajamii Forum Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi Taaluma yangu ni mhandisi ambaye nilipenda sana somo la fizikia enzi nikiwa shuleni. Nimejaribu kurejea mambo wanayofundishwa watoto wetu nikashangaa kuna upotoshaji mkubwa. Mfano: NECTA...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Siku hiyo kulikuwa na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliyekuwa akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu najiandaa kufanya mtihani wa Private Candidate mwishoni mwa mwezi wa kumi naombeni mbinu za kufanikiwa kwa hilo
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Chawa[https://upload] Chawa wa kichwa (Pediculus humanus capitis) Uainishaji wa kisayansi Himaya:Animalia (Wanyama) Faila:Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na...
1 Reactions
1 Replies
946 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hii inaitwa pambana na hali yako. Kuna shule naitafuta toka juzi siioni. Sasa kwa upangaji huu labda inaonekana hayana umuhimu sana na watu hawana mpango nayo. Sidhani kama watu wote wanatumia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naombeni ushauri wakuu Kati ya diploma ya clinical medicine na electrical engineering njia ipi ni sahih kwa wakat tuliopo na tunavyoenda mbele.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja na matokeo ya kidato cha 4 kuongezeka ufaulu, kidato cha 2 na darasa la 4 kwa mujibu wa taarifa/ripoti ya Baraza la Elimu Tanzania limesema kuwa bado ufaulu wa Somo la Hisabati uko chini...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada. Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo...
7 Reactions
122 Replies
17K Views
Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote. Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu: 1. Je, zamani tulikua...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Shule nyingi za kiislam hazifanyi vizuri kabisa kwenye matokeo Shule za kiislam sina shida gani?? Hizo shule zinafundisha nini hasa kama hakuna hata shule moja inayoingia hata top 20 bora...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Kumpeleka Mtoto shule yenye Ada kubwa au Shule ya Garama ni kupoteza tu hela, cz mtoto atasoma atafika hadi Chuo then atamaliza Vizuri chuo, baada ya kumaliza chuo anakuwa mzigo wako tena...
7 Reactions
92 Replies
7K Views
Back
Top Bottom