Nilikuwa na ndoto ya udaktari ila nimefeli Physics

Member since 2013

Umemaliza form four mwaka jana sio?Pole
Du huyu jamaa anaonekana sio wa kawaida alijiunga JF alikwa darasa la nne au la tano 2013! kwa elimu ya sasa alijiunga JF alikuwa na umri chini ya miaka 15!
 
Haya ndo matokeo yangu. Napendelea masomo ya science ila phyiscs imeniangusha.
CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' PHY - 'F' CHEM - 'C' BIO - 'A' AGRI - 'C' B/MATH - 'C'.
Je niende combi gani ili niweze kusomea udaktari au pharmacy
Mzee umebutua Sana, pongezi zako, Kuna jamaa aliniambia nijiunge QT nisafishe cheti nikachukulia poa...

Memkwa hapo kapambane CBA, Kijiji ulichotoka waatakushukuru baadaeutakapo kuwa daktari wa punda.
 
Haya ndo matokeo yangu. Napendelea masomo ya science ila phyiscs imeniangusha.
CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' PHY - 'F' CHEM - 'C' BIO - 'A' AGRI - 'C' B/MATH - 'C'.
Je niende combi gani ili niweze kusomea udaktari au pharmacy
Pharmacy chuo cha serikali unapata diploma kabisa! Kwa cheti hicho
Fuatilia uapply
 
Hakuna cha kufanya hapo, hakuna level yoyote ya utabibu unaweza soma ili ufikie ndoto yako ya kuwa Daktari, ukitaka rudia mtihan, km hutaki kasomee uafisa kilimo, misitu, Ardhi, nyuki n.k
 
serikalini kwrnda Form V ni kazima upate BBC, udaktari bila physics ni kazi kubwa, nna dogo hapa ana D ya physics kila kitu kimeharibika
 
Kijana achana na ndoto za udaktari mapema sana. Nenda kasomee ardhi au misitu. Nasisitiza tena ardhi au misitu.

SUKAH
 
Tumia pesa au Watu utaingia Chuoni

Nchi hii sasa hivi haiko serious tena

Watu wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao
Walikua wanaambiwa Mawaziri lakini inaonekana Madam haelewi Reverberations zake kwamba zitatrickle down hadi kwa Mjumbe wa nyumba kumi!

Mlenge Mtu yeyote wa juu Utasoma unachotaka hata kama una F zote
Mbona wewe una A angalau ya Bios
 
Back
Top Bottom