St Francis ndio wanaotunga NECTA nini?

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana?

Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis
3. Wllhemia Steven - St. Francis
4. Cronel John - St Francis
5. Merry George Ngoso - St Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Brandina - St. Francis
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis
 
Siyo kwamba wanafunzi ni bright Ile wao wanachukua wanafunzi ambao ni " fast learners" hivyo walimu wana kazi ndogo. Kama Mwanao ni " slow learner" basi mpeleke kwenye shule ya kawaida yenye walimu waliobobea, atafanya vizuri tu.
 
Wanafunzi wa private wasikutishe mkuu,

Kuna demu mmoja alipita one ya 10 kipindi tunamaliza sasa tukawa tunasoma nae tuition ya advance aisee alikuwa vitu vingi vidogo vidogo havijui tukawa tunashangaa na washikaji hyo one kaipataje ila private labda kwa mtoto kuongea English ila kwa uwezo wa darasani shule za serikali zipo juu.
 
Sasa kama ndani ya miaka 19 hawajawai kutoka kumi bora inaonesha shule inajua nini inapaswa kutimiza kwa wanafunzi wake.

Changamoto nyingine syllabus zetu nyingi hazibadiriki hivyo inapelekea kua na marejeo ya walimu, note, na ata mithiani so kwao na juhudi zao wanajua kufikia hizo gapes
 
Hakuna Promo Hapo Wazee
St Francis Wanapiga Msuli Utadhani Kesho Ndio Mtihani,test Ni Almost Daily Na Wanamaliza Topics Zote Mapema Sana,mwezi Wa 4 Au 5
Baada Ya Hapo Ni Mitihani Tu,Tena Na Theory Na Pract Na Ni Migumu Acha,ukipewa Hutoboi Kiboya
Mwaka Wa 20+ Now Wako Form Vibaya Mno,alafu Ww Uko Zako Unaangalia Katuni Kideoni,unasema Eti Ni Promo Tu? Serious?
 
Wanafunzi wa private wasikutishe mkuu,

Kuna demu mmoja alipita one ya 10 kipindi tunamaliza sasa tukawa tunasoma nae tuition ya advance aisee alikuwa vitu vingi vidogo vidogo havijui tukawa tunashangaa na washikaji hyo one kaipataje ila private labda kwa mtoto kuongea English ila kwa uwezo wa darasani shule za serikali zipo juu.
Muone maskini huyu yaani mtu apige misonge 7 au 9 alafu utwambie hajui vihesabu labda vya Factorization!!!? Acha uongo wewe tafuta hela!! Alafu mtu sometimes hawezi kujua kila kitu!!!
 
Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana?

Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis
3. Wllhemia Steven - St. Francis
4. Cronel John - St Francis
5. Merry George Ngoso - St Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Brandina - St. Francis
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis
Wakuu kuna shule moja inaitwa St Joseph ipo maeneo ya Mbezi nasikia na yenyewe inafundisha hatari na ina malezi mazuri kwa wanafunzi, hata mwanafunzi awe mtukutu vipi akienda pale siku akirudi nyumbani unaweza kumkataa kwa kudhani labda umebadilishiwa mtoto. Nani anaifahamu vizuri shule hii wandugu? Nataka nimpeleke dogo akapige interview pale.
 
Back
Top Bottom