Kwenye matokeo ya Necta imeonyesha wazi Shule za Kiislam hazifanyi vizuri

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Shule nyingi za kiislam hazifanyi vizuri kabisa kwenye matokeo
Shule za kiislam sina shida gani??

Hizo shule zinafundisha nini hasa kama hakuna hata shule moja inayoingia hata top 20 bora

Unakuta shule Ina Div1-0 DivII-4 DivIII-10 DivIV-60 DivZero-48
Hivi zina shida gani hizi shule za kiislam
 
Au wanajifunza Ualishababu
NACTE Ni kitu gani?
 
wanapaswa wajitafakari na wachukue hatua madhubuti.

inawezekana kubadilika kama wataamua.

waige mifano ya shule zingine zinazo fanya vizuri.
 
Dini sana imetawala, mpaka washtuke si leo, mtoto anafundishwa vitu vya ajabu kuvikariri wakati havitamsaidia, bora hayo mafundisho ya dini ingekuwa ni ujuzi wa kumkwamua mwanafunzi katika nyanja za stadi na maarifa ya kisayansi na teknolojia
 
Shule nyingi za kiislam hazifanyi vizuri kabisa kwenye matokeo
Shule za kiislam sina shida gani??
Hizo shule zinafundisha nini hasa kama hakuna hata shule moja inayoingia hata top 20 bora

Unakuta shule Ina Div1-0 DivII-4 DivIII-10 DivIV-60 DivZero-48
Hivi zina shida gani hizi shule za kiislam

Au wanajifunza Ualishababu
Si mnatuonea sana
 
Necta siyo Nacte.
 
Nimesoma na waislam toka Advance mpaka chuoni walikuwa very bright na mpaka makazini wanafanya vizuri sana.
Nafikiri tatizo sio dini maana waislam wapo vizuri tu wakiwa shule nzuri tatizo shule zao ndo kuna tatizo.Wamiliki wa shule za kiislam inabidi watafiti wajue kuna tatizo gani katika mifumo yao ya ufundishaji.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Then wanakuja kubwa wauza pweza barabaran
hawa jamaa hawana mpango na elim ya duniani wao wanawekeza sana kwenye after life nimewai kwenda pangani hali ni mbaya sana kwanza walivyogundua mimi ni mkristo hawakunipa ushirikiano kabisa mkoa kama tanga eti ijumaa hakuna masomo ni shida sana
 
Dini sana imetawala, mpaka washtuke si leo, mtoto anafundishwa vitu vya ajabu kuvikariri wakati havitamsaidia, bora hayo mafundisho ya dini ingekuwa ni ujuzi wa kumkwamua mwanafunzi katika nyanja za stadi na maarifa ya kisayansi na teknolojia

Waendekeza sana ndo maana mashehe wengi wana njaaa
 
Shule nyingi za kiislam hazifanyi vizuri kabisa kwenye matokeo
Shule za kiislam sina shida gani??
Hizo shule zinafundisha nini hasa kama hakuna hata shule moja inayoingia hata top 20 bora

Unakuta shule Ina Div1-0 DivII-4 DivIII-10 DivIV-60 DivZero-48
Hivi zina shida gani hizi shule za kiislam

Au wanajifunza Ualishababu
Mpaka 2025 tutakuwa tunaongoza na TO watakuwa wanatoka huku kwetu Mwanakwerekwe
 
Back
Top Bottom