Natafuta chuo cha Ushonaji nguo kilichopo Dar

Ni 650k/mwaka, inalipwa kwa awamu mkuu
dah,mbona kubwa sana ada yao ilihali pale ni taasisi ya Umma,majuzi yale nilienda pale chuo chao kingine navy,nikauliza nikaambiwa ni 460,ila nikiangalia ni mbali sana alipo uyo mwanafunzi kufika pale,sasa nao mgulani naona wamezidi sana
 
Inamaana sasaivi kuna mwamko sana wa vijana kujiunga na kozi za ufundi tofauti na zamani,vyuo vingi sana ukiondoa veta chang'ombe ada zao zimenona sana kama secondary
 
Pale napafahamu,nilisomaga udereva miaka ya nyuma kidogo
Basi vizuri mkuu. Kimsingi ni chuo kizuri, maana pamoja na elimu ya nadharia na ya vitendo, vijana wanalelewa pia katika misingi ya nidhamu na ukakamavu
 
Back
Top Bottom