Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ninahitaji ku improve Kingereza changu kwa sababu nafanya kazi sipati muda wa kujiunga na chuo. Kwahiyo nilikuwa nahitaji msaada wa kupata mwalimu wa kuwa ananifundisha hasa wakati wa jioni. Niko...
1 Reactions
2 Replies
470 Views
Full name: The University of Dodoma Shortform(s): Udom Founded: 2007 as State Huge University in the country Location: Dodoma Capital City Website: udom.ac.tz Mods please put this thing 📌...
3 Reactions
77 Replies
10K Views
Kuna baadhi ya kazi zinaomba utume na leaving certificate. Je, mfano sina leaving certificate alafu nina vyeti husika vya kuhitimu level hizo za elimu na nikatuma kwenye maombi nitakuwa sahihi au...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama ni training ya kimataifa unatakiwa uiombe kwa ku apply kupitia email na sasa mbali na cv wanahitaji pia support letter kutoka kwa mwajiri wako pia na motivation letter page moja. Swali ni je...
0 Reactions
1 Replies
436 Views
Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi...
2 Reactions
0 Replies
448 Views
takrban wanafunz 7000,bado wanahtajika udom kujazilishia nafasi,..so kwa hali hii CHANGING OF COURSE IS ALLOWED TO ONLY COURSES WITH SLOTS!**updatedboy**
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Jamani kuna njia imegundulika na hu2miwa na wa2 wengi hasa waliochaguliwa cozi ambazo hawazitaki.,na wanataka kubadili.,tofauti na njia ya kwanza ili uweze kubadili ni lazima ufike chuoni ufanye...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari za saa nyote natumai ni njema, moja kwa moja wacha niende katika jambo lililonifanya niandike lalamimiko langu. Lalamiko langu linaenda kwa shule za msingi na upili katika taifa letu la...
5 Reactions
208 Replies
7K Views
Yahoo! Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra. Ni heri mtu asisome (aishie...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tangu zamani nilikuwa na hilo wazo lakini kwa sasa naona interest imezid kuwa kubwa. Tangu zaman nimekuw mtu wa kupenda mambo ya umeme na nlipokuwa mdogo (primary) nlikuwa mbunifu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
TAHADHARI: [emoji599][emoji599][emoji3544][emoji3544][emoji3544][emoji117]Je unajua unatakiwa Kuzingatia Mambo Muhimu haya Wakati wa Kununua Betri kwa Ajili ya Laptop yako? 1. Aina/ Model ya Betri...
1 Reactions
0 Replies
501 Views
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2023. BONYEZA HAPA: Kuangalia majina ya...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wana jámiiforums naomba msaada kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga veta 2022/2023.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Habari wanajukwaa. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 na nina degree ya sayansi na elimu (education). Tangu nimemaliza elimu hii miaka 8 iliyopita nimefanya kazi kadhaa hapa nchini kama...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi... Mimi ni mtumishi wa umma nina mpango wa kwenda kusoma masters ya....either... Education Physical education Social Works Au nyingine yoyote Shida yangu sijui nianzie wapi... Nataman...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wadau wa elimu, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi hii ninayotumia mpaka sasa. Nianze na kadhia yangu niliyoipata heslb, mwaka jana baada ya SSH kuamua kuondoa baadhi ya makato gandamizi...
0 Reactions
4 Replies
888 Views
Habari gani members wa JF? Kama una swali lolote kuhusu Hifadhi zetu za taifa, pia maswali kuhusu wanyama pori wa hapa EAST AFRICA(mammals,reptiles,birds,etc) na baadhi ya maswala yanayohusu...
19 Reactions
1K Replies
192K Views
Ukiangalia kwa undani graduates wa matokeo yenye GPA kuanzia 3.8 sio wengi sana. Serikali inaweza kuwa accommodate vizuri kabisa. Serikali ianzishe mfumo wa internship kwa hao graduates kwa...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom