COMPUTER MAINTENANCE

skyline tech

Member
Apr 9, 2021
37
64
TAHADHARI: Je unajua unatakiwa Kuzingatia Mambo Muhimu haya Wakati wa Kununua Betri kwa Ajili ya Laptop yako?
1. Aina/ Model ya Betri husika,
Hakikisha Model ya Laptop yako inaendana na Betri unayotaka kununua, mara nyingi Model huandikwa nyuma ya Laptop husika kwenye kitako. Kuna "sticker" nyeupe inawekwa pale na model yake.
2.Uwezo wa Betri husika ( Capacity)
Hiki ni kiwango cha nhuvu kwenye betri ndani. Chunguza kwa umakini kuona je , uwezo wa betri unayonunua ni kiasi gani? Nguvu hiyo hupimwa kwa " MilliaAmp hour" ( MAh). Kwa kawaida nguvu ya betri huanzia 1000MAh.
3.Kiwango cha Voltage .
Kiwango cha kuishi kwa betri hutegemea sana kiwango cha Voltage, kwa kawaida Voltage kwenye betri huanzia 7.2V hadi 14.8V.
4.Angalia "Connector".
Hizi ni sehemu ya kuunganisha Betri pamoja na ike ya laptop kama vinaendana kwa pamoja.
5.Muunganiko wa Kemikali zilizotumika kutengeneza Betri hiyo.
Hii hujumuisha uwepo wa Nickel "Cadmium "(NiCad), "Nickel Metal Hydride" (NiMH), "Lithium Polymer" (Li-Poly) and "Lithium Ion" (Li-ion). Betri yoyote lazima iundwe na kemikali kati ya hizo.
6. Kiwango cha Seli
Kiwango cha seli hupima uwezo wa Betri husika. Uwepo wa Seli nyingi hupima uwezo mkubwa wa betri. Kwa kawaida kiwango cha seli zinatakiwa zisipungue 6 aina ya 18650.

Endelea kujifunza zaidi juu ya Betri kwenye Laptop yako, Swali je una Changamoto ya kupata betri kwa ajili ya Laptop yako?

Tupigie/ Tuma SMS/ Whatsapp:

+255 68 727 8659
+255 767 466 943
Au tembelea page yetu


Instagram @intouch_infotech
Facebook @intouch
IMG_1071.jpg

infotech
Email: intouchinfotec@gmail.com
Tunapatikana Tegeta, Dar es salaam Tz


Kwa Wakazi wa DAR, hauhitaji Kusumbuka Kuja mpaka Ofisini tunakuletea Mahali ulipo BUREE.

N.B. Pale unapokuwa na Changamoto yoyote Kwenye LAPTOP, DESKTOP au SIMU yako Usisite kututafuta. Tupo tayari kukuhudumia.

Karibu sana.
#computeraccessories #computer #computerrepair #mobile #mobilerepair #mobileaccessories #kaspersky #hdd #laptopaccessories #laptop #ilala #kinondoni #temeke #mwananyamala #mwanza #dodoma #singida #morogoro #moshi #arusha #udom #udsmupdates#mbezi #arusha #tabora #morogoro #moshi #mikocheni #kigamboni #kigoma #mtwara #mbeya
IMG_1072.jpg

IMG_1073.jpg
 
Back
Top Bottom