Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Ukiangalia kwa undani graduates wa matokeo yenye GPA kuanzia 3.8 sio wengi sana. Serikali inaweza kuwa accommodate vizuri kabisa.
Serikali ianzishe mfumo wa internship kwa hao graduates kwa mwaka mmoja kama wanavyofanya wizara ya afya.
Kila graduates mwenye hayo matokeo apelekwe internship ya mwaka mmoja kwenye makampuni anayofanya shuguli alizosomea baada ya hapo akimaliza ndipo aende kufundisha chuo.
Internship ziwe kama za wizara ya afya. Serikali izitafute yenyewe.
Wizara ya viwanda ihusike na internship za graduates wa chemical, mechanical, electrical, industrial, physics, chemistry, n.k
Wizara ya ujenzi ihusike na internship za graduates wa civil, architecture, etc
Wizara ya nishati ihusike na internship za graduates wa petroleum engineering, petroleum chemistry, petroleum geology nk
Wizara ya madini ihusike na internship za graduates wa mining engineering, mineral and process engineering, mineral geology nk.
Lakini GPA za graduates zianzie 3.8 kwenda juu.
Wafanye internship kwa mwaka mmoja na kuendelea ndipo waende kufundisha vyuoni.
Hapo ndipo tutaweza kupata matokeo ya elimu yetu.
Lakini bila hizo wizara zingine kushirikiana na wizara ya elimu hatuwezi kuona matokeo hata mara moja.