'Motivation letter' na 'support letter' ziandikwe kwa mkono au zichapwe?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,074
42,852
Kama ni training ya kimataifa unatakiwa uiombe kwa ku apply kupitia email na sasa mbali na cv wanahitaji pia support letter kutoka kwa mwajiri wako pia na motivation letter page moja. Swali ni je, hizi document mbili huwa zinatakiwa zichapwe au ziandikwe kwa mkono?

NB: Ikumbukwe mwajiri wako yuko likizo so unataka ufoji mazingira kidogo ujiandikie support letter mwenyewe.
 
Nijuavyo mimi katika ulimwengu wa sasa kila kitu kinatakiwa kichapwe...tena kwenye karatasi official (letterhead) za kampuni kama kuna ulazima wa kufanya hivyo na hii haijalishi kama ni soft au hard copy
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom