UDOM:kATI YA KOZI 78 ,73 BADO ZAHTAJI WANAFUNzI 2013/14

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
takrban wanafunz 7000,bado wanahtajika udom kujazilishia nafasi,..so kwa hali hii CHANGING OF COURSE IS ALLOWED TO ONLY COURSES WITH SLOTS!**updatedboy**
 
Mkuu, kuna mdogo wangu alikuwa haja-apply, alikuwa mgonjwa wa muda mrefu ila sasa kapata nafuu, na malengo yake ni kusoma Bsc Telecommunication Engineering, je hii kozi bado ina nafasi?
Je inawezekana kununua vocha na kujisajili TCU na aka-apply kwa sasa?
 
Mkuu, kozi ya Bsc Telecommunication Engineering pia bado ina nafasi? Kuna mdogo wangu alikuwa haja-apply, alikuwa mgonjwa wa muda mrefu ila sasa kapata nafuu, na malengo yake ni kusoma hiyo kozi. Je inawezekana kununua vocha na kujisajili TCU na aka-apply kwa sasa?

Manina unadhan tele wanasoma hovyohovyo.....udomu kuna tela au uvundo.......mtu amepata div 3 anasoma tele.....manina mbupu we
 
yeah tangazo lao linasema unaruhusiwa kwa mwombaji mpya kununua vocha na kurejister
 
Manina unadhan tele wanasoma hovyohovyo.....udomu kuna tela au uvundo.......mtu amepata div 3 anasoma tele.....manina mbupu we
Ficha u......... wako,usifiche busara zako.
Huu ni uzi wa Great Thinkers siyo mavuvuzela. Hata kama una allergy na UDOM, ungenyamaza wenye msaada wachangie, au ukosoe halafu utoe ufumbuzi mbadala kumaliza tatizo la aliyeuliza. Wewe siyo GT, kama ndiye, basi feki kuliko unavyoifikria UDOM.
 
Mkuu, kuna mdogo wangu alikuwa haja-apply, alikuwa mgonjwa wa muda mrefu ila sasa kapata nafuu, na malengo yake ni kusoma Bsc Telecommunication Engineering, je hii kozi bado ina nafasi?
Je inawezekana kununua vocha na kujisajili TCU na aka-apply kwa sasa?

yeah tele bado inahtaj vchwa,in short kuna nafac,kikubwa afanye fasta akanunue vocha na aombe nina uhakika atapata kikubwa awe na minimum E,E with a total of 2 points
 
Sifa za kujiunga na hiyo kozi anazo. Hilo halina tatizo. Nashukuru tena kwa mchango wako.
 
mdogo wangu,hapo udsm panapokufanya udharau vyuo vya wenzako hata sie tumepapitia...ebu jaribu kuwa na heshma kwa wenzio japo kidogo.

bora yako seneta kwa kumpa ukwel anaejiita INTELIGENT
 
mdogo wangu,hapo udsm panapokufanya udharau vyuo vya wenzako hata sie tumepapitia...ebu jaribu kuwa na heshma kwa wenzio japo kidogo.

Mshaurini sana huyu kijana, mimi huwa namwangalia kisha nafyata mdomo.
 
yeah tele bado inahtaj vchwa,in short kuna nafac,kikubwa afanye fasta akanunue vocha na aombe nina uhakika atapata kikubwa awe na minimum E,E with a total of 2 points
Mkuu, mimi tangazo la TCU kuongeza muda wa ku-apply sikuliona wala kulisikia. Deadline ni lini?
 
Ficha u......... wako,usifiche busara zako.
Huu ni uzi wa Great Thinkers siyo mavuvuzela. Hata kama una allergy na UDOM, ungenyamaza wenye msaada wachangie, au ukosoe halafu utoe ufumbuzi mbadala kumaliza tatizo la aliyeuliza. Wewe siyo GT, kama ndiye, basi feki kuliko unavyoifikria UDOM.

umekubali kuwa Udom ni kjchuo cha mtaa.
 
mdogo wangu,hapo udsm panapokufanya udharau vyuo vya wenzako hata sie tumepapitia...ebu jaribu kuwa na heshma kwa wenzio japo kidogo.

haujasoma Mlimani wewe labda Muce au Duce... Nakataa kjambio kama wewe kusoma pale Nkrumah..... Nabisha kufaaa kama c mukobs ni Tia.
 
Back
Top Bottom