Naomba kufahamu umuhimu wa 'leaving certificate' wakati vyeti halisi unavyo

Michael ulilo j

New Member
Feb 10, 2022
4
1
Kuna baadhi ya kazi zinaomba utume na leaving certificate. Je, mfano sina leaving certificate alafu nina vyeti husika vya kuhitimu level hizo za elimu na nikatuma kwenye maombi nitakuwa sahihi au vipi?
 
Mfano post za Jeshi la polisi,na jeshi la uhamiaaji zilizotangazwa hivi karibu kama tarehe 05/12/2022,zimedai miongoni mwa nakala za kutuma ni pamoja na leaving certificate and academic certificates,

Sasa mimi sina leaving certificates na nimetuma nakala za vyeti,hapa imekaaje?
 
Waone hawa jamaa wakushauri,
 
Hapo wameamua kupunguza idadi ya applications... Leaving certificate hata stationary unapata ukiwa mjanja ila ukikamatwa umeji disco
 
Kuna baadhi ya kazi zinaomba utume na leaving certificate. Je, mfano sina leaving certificate alafu nina vyeti husika vya kuhitimu level hizo za elimu na nikatuma kwenye maombi nitakuwa sahihi au vipi?
Leaving certificate husaidia kukitetea cheti chako kwamba ulipita shule kweli.
 
Mfano post za Jeshi la polisi,na jeshi la uhamiaaji zilizotangazwa hivi karibu kama tarehe 05/12/2022,zimedai miongoni mwa nakala za kutuma ni pamoja na leaving certificate and academic certificates,

Sasa mimi sina leaving certificates na nimetuma nakala za vyeti,hapa imekaaje?
Hujakidhi matakwa yao. Simple and clear na ukikosa usianze kutafuta mchawi.

Waombaji ni wengi sana na baadhi ya matakwa haya huwekwa ili kuwapunguza wazembe wa kutimiza masharti.

Hata kama ni takwa la kizembe namna gani jaribu kulizingatia na kama huwezi jaribu kujieleza ni kwa nini.

....kwa nini huna leaving certificate? Ulipoteza ama? Na mbona kuzipata ni kazi rahisi tu stationary yo yote unaichapa tu. Omba mshikaji mliyekuwa naye mwaka mmoja ukopy kila kitu. Ni karatasi tu za kawaida hazina jipya!
 
Back
Top Bottom