Msaada kuhusu ufadhili wa masomo

Masombogoto

Member
Sep 10, 2016
25
24
Habari wanajukwaa.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 na nina degree ya sayansi na elimu (education).
Tangu nimemaliza elimu hii miaka 8 iliyopita nimefanya kazi kadhaa hapa nchini kama tutorial assistant, mwalimu wa shule, msaidizi wa mambo ya utafiti (research assistant), biashara na hata masuala ya watoto na vijana.

Lengo langu kuu limekuwa kujiendeleza kimasomo kwa ngazi za shahada ya uzamili na uzamivu. Lakini nimekuwa na changamoto kubwa sana ya fedha ya kusoma na hata scholarships zimekuwa na vigezo vikali na zingine najikuta zimepita muda.

Baadhi ya nchi (marekani) zimeninyima visa ya kwenda kusoma, na admission ya hapa nchini nimeshindwa kuanza masomo kwa sababu ya kifedha.

Kwa sasa, kazi zote hizo ambazo nimewahi kuzifanya, mikataba ilishaisha na sasa nina changamoto pia ya kazi. Mawazo niliyonayo ni kupata namna niendelee na masomo yangu maana ndilo lengo langu kuu.

Lakini kwa sababu sijafanikiwa kuanza masomo hadi sasa kwa sababu hizo nilizozitaja, nimekuwa pia nikitafuta namna ya kupata kazi hapa nchini au nje ya nchi kwa ajili ya kujikimu na kuendeleza maisha.

Sasa, ninaomba mtu yeyote anayeweza kunishauri kuhusu mambo haya mawili (kupata namna niendelee na elimu ya juu ama kupata kazi hasa nchi za nje) anisaidie ushauri.

Natanguliza shukrani.
 
H

Huu uzi toka may hadi leo hakuna aliyecomment
 
Pole sana mkuu ngoja watalaam waje
 
Back
Top Bottom