Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Huyu dogo alimaliza form six mwaka 2016 akafeli, sasa karudia sahivi kafaulu ana mawazo eti ataweza, pewa mkopo mana kwao hawana uwezo na anataka kusoma md, nikamwambia ngoja niulize wadau.
0 Reactions
15 Replies
236 Views
Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25 Makala hii inasaidia kuelewa ni kozi zipi ambazo ni chaguo bora, hasa kama bado hujaamua unataka kusoma nini. Shahada...
11 Reactions
68 Replies
53K Views
NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2026 huku wakieleza kuwa, ufaulu umeongezeka. unaweza kuyatazama matokeo hayo kwa Kugusa Hapa. Baada ya kuona matokeo, unaweza kuuliza swali...
0 Reactions
2 Replies
486 Views
Wenye ufahamu tupeane maujuzi kwani waswahili husema Fikiri kabla ya kutenda Mtumishi akishafanyiwa recategorization, kutoka utumishi wa idara moja kwenda nyingine, nini hatima ya daraja la...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo? Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
2 Reactions
9 Replies
177 Views
Naomba mnijulishe ni lini matokeo ya form six mwaka huu yatatoka
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Habarini wakuu. Msaada kidogo. Nina elimu ya Diploma ya ugavi na manunuzi. Sasa nataka kurudi kusoma,ipi nianze nayo niende kusoma shahada alafu baadae nimalizie mitihani ya bodi au niingie kwenye...
0 Reactions
2 Replies
137 Views
Jana, Jumatatu tarehe 29 Juni, na leo Jumanne tarehe 30 Juni, Chuo kinaendesha uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, ukifuatilia namna uchaguzi huo unavyoendeshwa, kuna maswali mengi...
1 Reactions
0 Replies
120 Views
Ujumbe aliopewa musa wa kuvua kiatu alichotoka nacho kwa farao,kwamba mahala pale ni patakatifu ulimaanisha kiatu Gani?je ni kiatu kama kiatu Cha kuvaliwa mguuni au ni Nini kililengwa.Je mahala...
1 Reactions
4 Replies
116 Views
Sasa natimiza mwaka wa pili tangu niajiriwe serikalini. Nataka kuongeza elimu maana niliajiriwa na Form Six. Nafanya kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, nipo Zanzibar. Kwa mujibu wa kazi...
5 Reactions
37 Replies
449 Views
"An error occurred please ..." Hili tatizo kwenye kujisajiri heslb olams online mmelitatuaje
1 Reactions
1 Replies
137 Views
Kuna mambo yanaendelea chuoni hapo mpaka unajiuliza, hiki chuo kina wenyewe kweli? Na wanafunzi wamekaa kimya, mpaka unajiuliza tunazalisha wasomi wa namna gani? Jumanne tarehe 30 June, wamefanya...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Habari za Leo wakuu, Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania? Na ni ipi ipo wide? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
50 Replies
12K Views
Kama kuna mtu alisoma Ndanda sekondari miaka ya 1972-1975/6 naomba anicontact PM tukumbukane tafadhali
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, nina mdogo wangu anataka kahama chuo kutoka kampala university kwenda muhimbili(MUHAS),Kozi ya udaktari mwaka wa tatu.Taratibu zikoje
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Viongozi walioteuliwa kuingoza TAHLSO wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO. Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi...
0 Reactions
7 Replies
177 Views
Naombeni MSAADA nahitaji kuomba mkopo heslb diploma kozi ya dental naombeni mnisaidie mambo gani yanahitajika hapo Natanguliza πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi? Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…