icca
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 187
- 177
Habarini wakuu.
Msaada kidogo.
Nina elimu ya Diploma ya ugavi na manunuzi.
Sasa nataka kurudi kusoma,ipi nianze nayo niende kusoma shahada alafu baadae nimalizie mitihani ya bodi au niingie kwenye mitihani ya bodi moja kwa moja na shahada niachane nayo?
Wazoefu ninaomba ushauri