Ipo.. Mwone steve mweusiNina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi
Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo?
Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
nenda TAMISEMI kuna maelekezo yoteNina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi
Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo?
Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
Jitathimini 🚮Ipo.. Mwone steve mweusi
Shukrani mkuunenda TAMISEMI kuna maelekezo yote
Umri wake? Maana MEMKWA inadahili kuanzia umri wa miaka 9-17. MEMKWA inapatikana Wilaya zote, anzia Kwa Afisa Elimu Kata iliyopo atakupa msaada.Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi
Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo?
Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
Miaka 11Umri wake? Maana MEMKWA inadahili kuanzia umri wa miaka 9-17. MEMKWA inapatikana Wilaya zote, anzia Kwa Afisa Elimu Kata iliyopo atakupa msaada.