Wakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu...
Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania.
Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila...
Clinical Nutritions and Dietetics (Utabibu lishe na Chakula) hii ni Faculty mpya iko pale UDOM.
Miaka kadhaa sasa imekua na changamoto ya mtaala(Curriculum), hadi sasa tuliopo internship tunaona...
Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya...
Habarini familia.
Kwa wale wanaosoma masomo ya Social Work,Community Development na Sociology. Ngazi ya NTA LEVEL 4,5,6,degree na post graduate diploma, na masters.
Na una uwitaji wa mwalimu wa...
Habari za muda huu wakuu, bila kuwapotezea muda niende kwenye maada.
Mimi ni nina elimu ngazi ya cheti ya utabibu technician certificate in clinical medicine(NTA L5) niliishia hii level kwa...
Msaada hii kozi siku izi wanaombaje maana haipo kjwenye mfumo wa maombi kupitia nactevet na hio ni kozi ambayo nahitakji sana kuisoma
Cuhas tumeshindwana wamesema 535,000 ya nafasi 😂 tena...
Kwa ufupi wakuu nahitaji kujifunza Jinsi seli zinavyozaliwa, zinavyokuwa, zinavyowasiliana na jinsi zinavyokufa.
Jinsi vinasaba DNA na RNA vinavyonakiliwa, jinsi vinavyotoa maelekezo ya...
Habari zenu wakuu? Kwa mnao somesha Makongo Secondary this time, je kimaadili inafaa kumpeleka Dogo secondary boarding? Dogo ni wa kiume a namaliza la saba mwaka huu. Concern yangu ni kuhusu suala...
Tunaomba msaada kwani kazi tunapata ila vyeti hatuna, tumefatilia chuo wanatuzungusha hata hawajali kabisa tunateseka sisi tunaomba mamlaka husika mtusaidie.
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo tarehe 17 Juni 2026, kimepokea ujumbe kutoka Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) uliolenga kujadili ushirikiano katika utekelezaji wa Mpango wa...
Ndio maana kila siku nasema ni uwendawazimu wa hali ya juu Sana kulipa hela kumsomesha mwanafunzi shule inayo fundisha kwa mtaala wa NECTA.
Ni ubabaishaji wa hali ya juu Sana. How comes mtoto...
Ninaomba mamlaka husika zitafakari hali halisi ya elimu ya kidato cha tano na sita nchini. Serikali imekuwa ikisema elimu ni bure, lakini ukweli uliopo mashuleni ni tofauti kabisa hasa kwa watoto...
Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Tabianchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang’a, tarehe 16 Juni 2026...
Mimi ni mhitim wa kozi ya clinical assistant KUTOKA kwenye chuo flani hapa DAR nimefatilia transcript KUTOKA NACTVET na kufanikiwa kuipata hivyo napenda kujuzwa INA umuhim kwenye kuomba nafasi za...
Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au...
Habari wanajamii
Nilitamani kufahamu kama Zile postgraduate programs ambazo sio blended ama online classess pale udsm ni lazima kuattend vipindi physically au kuna nafasi ya kuhudhulia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.