Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kuna jamaa yangu anatafuta silabasi (Syllabus) za somo la muziki katika shule za sekondary za o level na o level. Yupo nje ya Tanzania kwahiyo yeyote mwenye kuwa nayo au kutoa ushauri wa wapi kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Dar es Salaam ni makao makuu ya kila kitu kwa nchi yetu Tanzania, hata kama tutajidai makao makuu yapo Dodoma. Harakati za maendeleo ya nchi karibu kila kona ya maisha kitovu chake kipo DSM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello Great THINKERS!! Nimeangaliaa kwenye TV jinsi KOVA anavyoliongelea swala la Jerry Muro nikapata shida sana na Inteligence ya huyu kamanda. Nani anajua CV yake academically?
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari Wanajf, Ninaomba kama kuna member anaweza kunisaidia kupata kitabu cha hisabati darasa la tano kilichochapishwa na Ben & Company. Mdogo wangu anakiitaji sana kiweze kumsaidia kumudu...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
MBEYA INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (Accredited by National Council for Technical Education) ADMISSION TO BACHELOR DEGREE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2008/2009...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Asalaam jamani kuna swali nataka niulize tunasikia kwamba zipo shule nyingi za private ambazo zinapandisha bei ya elimu kila mwaka je nini kinafanyika kuzuiahili itafika wakati hatutaweza kubeleka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani ninajaribu kujifunza sheria ya ushahidi nikakutana na swali lifuatalo (a) A agreed in writing to sell a house to B for shillings 10,000/= or shs 15,000/=. Can evedence be given which price...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dili kwa vijana wa Tanzania, hasa hasa kwa wale waliomaliza Form 6 au wapo Form 6 sasa hivi. Ningependa kuwajulisha kuwa maombi ya kujiunga na vyuo vya Finland yameanza na deadline ni February 12...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Ni asubuhi yapata saa 12.25 nimejipumzisha nyumbani mara nasikia hodi, kutoka nje ni kundi la watu wapatao 11 miongoni mwao yuko katibu,mkit,balozi etc wakijitambulisha kwao kwamba ni serikali ya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
You don't have to be an expert in anything to impress a child with your knowledge, and leave an indelible impact. From tying a necktie to driving a car, here's a list of things you can teach them...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NYERERE PROGRAMME OF THE AFRICAN UNION AFRICA – INDIA CAPACITY BUILDING SCHOLARSHIPS The Nyerere Programme of the African Union has received support under the Plan of Action for the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa wote wa JF kama kuna mtu anafahamu walipo hawa wafuatao naomba anijulishe. 1. Harrieth Mtuy 2. Gloria Mziray 3. Hidaya Ukondwa 4. Hasina Musa 5. Ashura Kazinja 6. Elizabet Kabigi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Avoiding College Scholarship Scams Protect yourself and your money By Deborah Hardy “CONGRATULATIONS! You have won a $10,000 scholarship for college. To obtain your award, please forward a $100...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AP – This undated black and white photo released by the Carpenter Family on Tuesday, Jan. 26, 2010, shows … CONCORD, N.H. – It was Harriet Richardson Ames' dream to earn her bachelor's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
huo ndio usanii wa udom
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SOM, the graduate school and research institute of the Faculty of Economics and Business of the University of Groningen (The Netherlands) has available 13 PhD positions in Economics and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jf nina ndugu yangu(msichana (21)) aliyehitimu kidato cha nne upande wa arts . Kwenye mtihani wake alipata D 3 na F 4. Ninachoonba toka kwenu ni ushuri wa kwamba je? 1) anaweza kufanya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
VIONGOZI WA TAHLISO WAJITAMBULISHA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI. Wednesday, 20 January 2010 Mr.Lawrence Mwantimwa Rais wa Tumaini University Dar es salaam,wa katikati ni Mr.Noel Issaya Katongo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba kuwasilisha mada yangu ijadiliwe hapa JF na pia watu watoe maoni ni namna gani tutakomesha hili suala. Kuna mtundo umezuka pale UDSM kwenye ofisi inayohusika na utoaji wa transcript...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…