Shapu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2008
- 2,111
- 790
Ni asubuhi yapata saa 12.25 nimejipumzisha nyumbani mara nasikia hodi, kutoka nje ni kundi la watu wapatao 11 miongoni mwao yuko katibu,mkit,balozi etc wakijitambulisha kwao kwamba ni serikali ya mtaa.
Wakaniambia natakiwa kuchangia sh 40,000/ kwa ajili ya ujenzi!
Tukawa na malumbano ya hapa na pale lakini swala langu la msingi ni kwamba ninalipa kodi nyingi sana ambayo nilitegemea ndo ingekwenda kwenye hizo jenzi za shule.
Zaidi nilitaka kujua kama kuna sheria/kanuni au chochote kinachotambulika na nchi kinachomtaka mtu achangishwe tu sehemu yeyote atakapokuwa hata kama si mwenyeji yaani ni mpangaji wa eneo hilo. Wanasheria au mtu yeyote naomba mnijuze.
Na je hii style ya kuchangisha ni acceptable? Inatambulika? Je ni nini haki yangu au haki ya hiyo serikali ya mtaa katika hili.
Tafadhali naomba mwenye uelewa anielimishe maana niliwatoa mkuku sana hao jamaa ila nataka nijue kama nilikuwa right or wrong kwani mimi najua serikali inahitaji kodi yangu tuu otherwise ingeniambia kupitia sheria mbalimbli ili nijipange sio mtu tu kuniibukia at anytime.