Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hapo nyuma kidogo nilileta thread hapa jamvini juu ya ufisadi wa walimu wa shule za msingi na sekondari Dar es Salaam, hakuna aliyechangia lakini wachache waliisoma. Nawapongeza IPP media...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wote waliomaliza Azania high school kidato cha sita mwaka 1997 mpo wapi?Tutafutane dunia imekuwa kama kijiji ili tubadilishane mawazo na mitazamo.Nawasilisha hoja na michango ya mawazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The 'Educated' SlaveKwaku Person-Lynn One of the most miscalculated assumptions is that when a person receives a college degree, whether undergraduate or graduate, that individual is now...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello JF, I need to know the Population figures for Tanzania in categories below 1. By end 2009 2. By end 2010 (Projected) I have tried to search in Natinal Bureau of statistics website but...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu wamekuwa wakitatizwa na matatizo ya kimaisha kama vile (kijamii i.e mapenzi, kikazi, kifamilia, kiuchumi na kisiasa). Almost kila mmoja wetu ameshapitia dhahma moja au nyingi kutokana na...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Hi wana JF Kutokana na baadhi ya watu kutokufahamu vizuri jinsi ya kuomba scholarship, Nimeona itakuwa vizuri kuweka baadhi ya procedure hapa vile vile anayetaka kusoma na kupata ufahamu zaidi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mnaweza kuutafakari vipi msemo ufuatao kama ulivyotundikwa katika website ya www.us.camfed.org "When you educate a girl in Africa, everything changes. She’ll be three times less likely to get...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wajameni, nafikiri huu ndo muda muafaka kuomba scholarship mbalimbali ili watu wasome mwaka huu au mwakani. humu JF najua kuwa wataalamu wengi sana wa kuona link za scholarship, tunaomba basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku za karibuni tumeshuhudia matokeo mabovu katika ngazi mbalimbali za elimu, kidato cha nne, sita na kidato cha pili. Pia matokeo ya mtihani wa darasa la saba hayaridhishi. Pia tumeshuhudia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MKOA wa Singida umepata mafanikio makubwa mno kwa upande wa ujenzi wa shule za sekondari za kata. Shule hizi ambazo wakati mwingine zinajulikana kwa jina la shule za wananchi, zimejengwa kwa kasi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Niliona vijana wakijitetea kwenye TBC1 kwa nini wanafeli mitihani ya form four Mbeya: Walimu wa kike wanafaa vimini darasani na kuwadistruct wanafunzi attention zao hata hawaelewi kitu Walimu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh. Matokeo duni ya shule za Sekondari yanasababishwa na Serikali kutoshughulikia matatizo yanayochangia wanafunzi kufeli. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Friday, February 12, 2010 10:41 AM MSICHANA Joyce Aloyce [18] mkazi wa Shekilango jijini Dar es Salam, ametoweka nyumbani kwao baada ya kupata majibu yake ya kidato cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na matokeo ya kidato cha nne. Katika matokeo hayo zaidi ya 82% ya wanafunzi waliofanya mtihani, wamepata division zero au four!!!!!! Tunaenda wapi??? Ni lazima tujiulize...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hello fellow member! I need help on ideas about challenges faced by both general Teachers and pupils with hearing impairment(deaf pupils) in general classes' settings, plz kama kuna mtu mwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Monday, February 08, 2010 2:39 AM Serikali ya Uingereza imetangaza mpango wake wa kupunguza idadi ya wanafunzi wanaopewa viza za kusoma nchini humo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
http://www.jgsee.org/app/home.php
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi kuna mvumbuzi au scientist wa nguvu like elbet eistern, Galileo, Isaac newton, Kekule, Kalman , sharpov, n.k ambaye ni black? Kama yupo anaitwa nani na alifanya nini? Kama hakuna ni...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Nafikiri serikali ya Tanzania(SISIEM ),inabidi itoe heshima ya hali ya juu kwa chuo hiki kwa kuelimisha Viongozi wetu wengi kuanzia Mh Lukuvi (BA degree ) Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,Mbunge wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1.Maskini,waoga na washamba-SUA 2.Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE 3.Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR 4.Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM 5.Upeo...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…