Elimu mwasemaje?


Lekanjobe Kubinika

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2006
Messages
3,065
Likes
31
Points
135
Lekanjobe Kubinika

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2006
3,065 31 135
Niliona vijana wakijitetea kwenye TBC1 kwa nini wanafeli mitihani ya form four Mbeya:
  1. Walimu wa kike wanafaa vimini darasani na kuwadistruct wanafunzi attention zao hata hawaelewi kitu
  2. Walimu wa kiume wana macho ya kuotea mbali kwa mabinti wanafunzi hata inawabidi mabinti waione shule kuwa ngumu sana na wanafeli.
  3. Vitabu vya kiada ni vya 1947 visivyoendana na wakati
  4. Walimu hawapo. Mwalimu wa hesabu mmoja anafundisha kuanzia form one hadi form six. Wakati mwingine huyohuyo ndiye mkuu wa shule yenye walimu wawili.
  5. Mazingira ya shule hayahamasishi kusoma hata kufaulu. (What?)
 

Forum statistics

Threads 1,251,233
Members 481,615
Posts 29,763,433