Masters and PhD scholarships 2010/2011

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
28
Points
0

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 28 0
Pape,
Mbona hamna details zozote?
wabongo mnapenda sana kutafuniwa kila kitu! umechukua hatua gani ya kufungua hiyo link na pdf file? acha uvivu hata kuclick hiyo link unaona taabu? haya nakushauri fungua hiyo link utakuta maelezo yote na ukishindwa watumie email kwenye email unayoiona hapo na watakujibu accordingly!
 
Mama Brian

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
321
Likes
1
Points
35

Mama Brian

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2010
321 1 35
Kumbe kuna mambo mazuri humu ktk jukwaa manake makaribisho niliyoyapata mh nilianza kuogopa na i was thinking about running away from the forum but thank God there are good issue going on here. Thanks for informing us!Cheers!!!
 
Next Level

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2008
Messages
3,158
Likes
21
Points
135

Next Level

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2008
3,158 21 135
Kumbe kuna mambo mazuri humu ktk jukwaa manake makaribisho niliyoyapata mh nilianza kuogopa na i was thinking about running away from the forum but thank God there are good issue going on here. Thanks for informing us!Cheers!!!
Sarah,

You need to carefully study the structure of JF. Kuna majukwa mengi sana hapa so unachagua wapi kwa kutembelea mwenyewe, si lazima uende kwenye majukwaa ambayo yanakukwaza au huna manufaa nayo.

Kwa mfano kama unapenda elimu, tembelea Education au IT forum, kama unapenda uchumi, lipo kwa ajili yako, kama unapenda siasa halikadhalika......!

Sawa?
 
Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,559
Likes
1,561
Points
280

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,559 1,561 280
Kumbe kuna mambo mazuri humu ktk jukwaa manake makaribisho niliyoyapata mh nilianza kuogopa na i was thinking about running away from the forum but thank God there are good issue going on here. Thanks for informing us!Cheers!!!
teh teh pole mjukuu wangu..we unaingia tu kwenye majukwaa bila kuangalia utakuta watu washapagawa na tusker baridiii wanakupa mashuti utatamani uzime computer yako
 
bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,341
Likes
211
Points
160

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,341 211 160
teh teh pole mjukuu wangu..we unaingia tu kwenye majukwaa bila kuangalia utakuta watu washapagawa na tusker baridiii wanakupa mashuti utatamani uzime computer yako[/QUOTE]

babu na wewe bwana hahaaaaaaaaaa umenichekesha
 
Mama Brian

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2010
Messages
321
Likes
1
Points
35

Mama Brian

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2010
321 1 35
Thanks Gloria and kigogo, i will be more carefull si unajua tena jambo usilolijua....i think this is now the right place for me, but still am noyt very confortable.is there an option to unsubscribe or ukishakuwa member ndo basi tena.teh teh!!
 
bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,341
Likes
211
Points
160

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,341 211 160
Thanks Gloria and kigogo, i will be more carefull si unajua tena jambo usilolijua....i think this is now the right place for me, but still am noyt very confortable.is there an option to unsubscribe or ukishakuwa member ndo basi tena.teh teh!!
mbona haraka hivo??
 
Forum statistics

Threads 1,191,647
Members 451,726
Posts 27,716,446