Tovuti kwa ajili ya Vijana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti kwa ajili ya Vijana

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SN_VijanaFM, Jul 7, 2010.

 1. S

  SN_VijanaFM Member

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwakaribisha kwenye tovuti ya Vijana FM.

  Huu ni uwanja wa watu kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali yanaotukabili vijana; hasa kwenye elimu, sayansi, teknolojia, sanaa, muziki, siasa na mambo mengine kwenye jamii yetu kwa ujumla.

  Pia, michango yenu inakaribishwa -- iwe ni makala zitakazozaa mijadala, kusaidiana kwenye kutafuta vyuo n.k.

  Tembelea uone kinachoendelea. Mnakaribishwa.

  PS: Kwa wale waliokuwa wanaendelea kutembelea vijanafm.blogspot.com, hatuko tena pale. Tumeamua kuonganisha tovuti na blog ili kuongeza ufanisi kwenye mambo ya uhariri wakati tunaangalia uwezekano wa Vijana FM kuwa tovuti inayojiendesha yenyewe.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Jitahidini tovuti yenu hiwe friend user!
   
 3. S

  SN_VijanaFM Member

  #3
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  X-Paster, unamaanisha kuwa na Anonymous commenting? Kama hilo ni tatizo unaweza ukaandika "Anon" tu kwenye sehemu ya jina na ukaendelea kama kawaida... Na sio lazima mpaka wahusika waje ku-approve comments.

  Au unaongelea user-friendliness nyingine?
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nina maanisha kuwa, mtumiaji akitembelea tovuti yenu, hawezi kujuwa wapi pa kwenda mpaka hawe mjuzi wa mambo ya mtandao.
  Mfano angalia hii tovuti ya JF, ukitembelea tu kila kitu kinajieleza... Hii ndio tunaita friend user, yaani rahisi kwa mtu kutumia.
   
 5. S

  SN_VijanaFM Member

  #5
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma vizuri... Ujumbe umefika na tutaangalia nini cha kufanya.

  Lakini kwa sasa hivi kuweni wavumilivu na ukitumia sekunde kadhaa tu kuperuzi utajua wapi kuna blogs, contact info, lengo la tovuti, n.k. kwa kutumia icons zilizopo juu..
   
 6. M

  Mutu JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda nilikuwa naicheck
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nimekuelewa mkuu!
   
 8. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Good Job Vijana FM.
   
 9. S

  SN_VijanaFM Member

  #9
  Jul 13, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale ambao bado wanasoma au wana ndugu, jamaa na marafiki wanaosoma (sekondari/vyuo vikuu): Khan academy
   
Loading...