Ku-doctor Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Sita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku-doctor Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Sita

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ruge Opinion, Jul 29, 2010.

 1. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  WanaJF, kuna mtu amenidokeza kuwa kuna mchezo wa ku-doctor matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na sita ili shule za serikali nazo zionekane zinafanya vizuri. Nimeambiwa katika mkoa fulani baadhi ya shule za binafsi zilikataa matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani na uhakiki ulipofanywa ikakutwa grades zilizoko kwenye script papers ni tofauti na zilizotangwa.:sick: Je, kuna mtu ana taarifa zaidi kuhusu hilo atuelimishe zaidi?
   
Loading...