St augustine university shida matokeo ya wanafunzi !!!!!!!!!1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

St augustine university shida matokeo ya wanafunzi !!!!!!!!!1

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Endaku's, Jun 1, 2010.

 1. E

  Endaku's JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: May 25, 2007
  Messages: 322
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jamani naombeni msaada kuna wadogo zangu wanasumbuliwa matokeo yao pale Chuoni , wao wanasema waliambiwa wana Sup somo moja , wakafanya wakafaulu baada ya hapo wakataka kuchukua Academic Transcript zao , wanaambiwa sasa mbali na hiyo sup kuna semister ya nyuma kabisa mwingine somo moja mwingine mawili , sasa mimi niliposoma (UDSM) walikuwa wakiweka matokeo ndio hayo hayo na hakuna baadae kusema tulikosea bado somo mmoja au mawili bado hujaclear , this is very awkward .

  I dont how to help these guys i need ur advice please !
   
 2. D

  Domisianus Senior Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni upuuzi wa hali ya juu sana, labda huyo lectural anayewasumbua wamuweke wazi kama kweli wako wasafi wa kutosha maana unaweza kukuta hata matokeo walikuwa wanasup lakini hawasemi kwa kuwa kile chuo ni cha private wanacho hitaji ni pesa, wakawa wana waacha waendelee kupeta sasa mwisho wa siku hayo yanajitokeza.

  Swali la msingi kujiuuliza, je ni wangapi hapo chuoni waliofanyiwa kitendo kama hicho mwaka wao au awali ya hapo?
  Je ni ni masomo mangapi ambayo wanasumbulia nayo, ni lectural mmoja au tofauti? je kulikuwa na chuki binafisi kipindi wanasoma hapo chuo?

  All in all laziam wafuatilie mpaka haki ipatikane kama ni kudisko waambiwe kuwa tayari walidisko muda mrefu na kama ni degree zao wapewa, lakini lazima wawe wawazi kwako na wewe ufanye uchunguzi wa kina kaka.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mh, hizi lawama kwangu mimi ni mara yangu ya kwanza kuzisikia hasa kwa hiki chuo. Jaribu kuproove kama hao madogo wanakwambia ukweli best. Halafu nadhani kama ni suala la matokeo ya Trimeste/ semister yoyote nadhani zaidi lecturers hawahusiki kwani wanapaswa kupeleka matokeo ya kila somo kwa Registrar na siyo wao wenyewe kuwapa wanafunzi labda kama ni CATs. Chunguza vizuri mkubwa!
   
Loading...