Mliosoma Shirati Secondary School Tarime mko wapi?

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Najaribu kutafuta wale wote waliosoma shule ya Sekondari Shirati kama wako hapa.
Najua shule yenyewe is not existing any more lakini imetoa vichwa vingi sana hapa nchini.
Sijui bado mnamkumbuka Kembo Migire mzee wa accute angle?:becky:
Ebu tukutane hapa basi! Natamani kuona wana Shirati hapa.
 
Mie sikusoma Shirati, ila Kembo migire nilimfahamu. Nilikuwa Makoko Seminary, Musoma.
Kamongo naona ulijifunza kula au?
 
Mie sikusoma Shirati, ila Kembo migire nilimfahamu. Nilikuwa Makoko Seminary, Musoma.
Kamongo naona ulijifunza kula au?
Kamaongo nilikula sana maana hiyo wale jamaa wanaitwa wajaluo wanamaindi sana unajua. Unajua kamongo kwa ugali wa muhogo wacha tu.
Kembo Migire wengi wanamfahamu sana hata sasa. Nasikia amekuwa ni active member wa vyama vya upinzani.
Ajabu sana kwamba hapa hakuna aliyesoma Shirati? Ohhh my God.
 
Yawezekana wapo wengi tu. Japo huko tunapafahamu vizuri
Kuanzia Obwere siku ya gulio, Kabwana masonga,Sota, na Michire kwenyewe ilipokuwa Shirati sec.
But jamaa wanazimikia Miziki ya Usiku huku wengi wao wamebeba marungu na mapanga utadhani wanaenda vitata!!.
Na vilevile wanapenda sana kujirushauza samaki Mbuta na Sato, ktk viwanja vya tarime mjini kogaja na nk.
 
Kembo Migire, Aroka Magati na wengineo na wazee wa siasa toka enzi na enzi.
Mkuu ulikuwa huko miaka ipi? Coz hawa jamaa wanasumbuliwa sana ma mambo ya mivutano ya kisiasa isiyoisha.
na kwa bahati now wamepewa wilaya ya Rorya lakini ni siasa tuuu na mivutanao isiyokuwa na mwisho.
 
Ninapafahamu sana Utegi na Kowak pia. Ni miaka mingi imepita maana nilikuwa huko between 1973 and 1976. Nina hamu ya kuona changes ambazo zipo sasa kwenye dunia hiyo.
Napakumbuka sana na namkumbuka sana Kembo ambaye amekuwa ni msaada wangu katika maisha. Alitufundisha si darasani tu lakini pia alitufundisha mambo mengi sana ya kimaisha yey akisaidiana na staff aliyokuwa nayo at that time.
Yule partner wake Shemaya Magati nasikia alishatangulia mbele ya haki.
Ila baadaye waliji involve sana kwenye mambo ya siasa na hasa za upinzani.
 
Ndiyo Mistadeniss,
Nimefika sehemu nyingi sana, Kuanzia Sirari, tarime, utegi, kowak, buturi,hahi kinesi.
Nikafika tena Randa Soko rabolo, Omoche, Manila hadi ziwani Kwa mganda. Then nikapita minigo, Soto Custom, Masonga, hadi Mihuru bay Kenya. nikarudi tena na bara bara kuelekea, bugire hadi kogaja. Ki ukweli nimefika maeneo mengi hadi vijijini.
toka Rorya, Tarime, Nyamwaga, Nyamongo,hadi Mugumu wilaya ya serengeti.

Yes mkuu MF, akina kembo walikuwa ni wazee wenye misimamo yao, but hawa jamaa huwa wanatofauti sana inapokuja mambo ya politics huwa wanagawanya koo zao hadi watu wanachukiana na kusahau maendeleo.
 
Najaribu kutafuta wale wote waliosoma shule ya Sekondari Shirati kama wako hapa.
Najua shule yenyewe is not existing any more lakini imetoa vichwa vingi sana hapa nchini.
Sijui bado mnamkumbuka Kembo Migire mzee wa accute angle?:becky:
Ebu tukutane hapa basi! Natamani kuona wana Shirati hapa.

Heh he heee.. dah.. Shirati Secondary School... Ile shule ilikuwa kwenye mazingira mazuri sana... yaani ingekuwa nchi za wenzetu, Shirati iko pazuri sana... Miamba, Ziwa... Nice environment.... Kipindi cha kilimo ndio nilikuwa naudhika sana
 
Askofu na wewe ulisoma Shirati siyo?ahahahhahahahahahah
 
Back
Top Bottom