T Taso JF-Expert Member Jun 12, 2010 2,463 2,289 Jul 2, 2010 #1 Kundi la watu waliokaa umbali sawa sawa limezunguka mviringo kwenye jamvi la duara. Mtu wa nne anatazamana mbele yake na mtu wa kumi na mbili. Jamvi lina watu wangapi?
Kundi la watu waliokaa umbali sawa sawa limezunguka mviringo kwenye jamvi la duara. Mtu wa nne anatazamana mbele yake na mtu wa kumi na mbili. Jamvi lina watu wangapi?