Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wapendwa wana jukwaa la elimu,nina maswali mengi kuhusu chimbuko la binadamu,baadhi ya maswali hayo ni , -je,chimbuko la binadamu ni arusha ? -kufuatana na elimu ya biblia tumeumbwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KITOVU CHA MAANDAMANO YA WANAFUNZI VYUO VIKUU HIKI Si tena habari ya kusimuliwa.Kila macho na masikio yanaona na kusikia yanayotokea.Karibu Vyuo vikuu vyote vimeshaandamana kulalama juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wimbi la migomo na maandamano sasa limetua Mbeya. Wanafunzi wa Chuo cha Teofilo Kisanji (TEKU) jioni hii wamegoma na kuandamana katika maeneo ya Chuo chao hali ilyowaklazimisha wazee wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nashangazwa na hii hali. Kwanini tusubiri matukio ndio yatuibulie mijadala juu ya mambo muhimu kama kiwango cha elimu. Je, kama matokeo ya mwaka huu yangekuwa wanafunzi wamepasi kwa asilimia 80...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali yaunda tume ya vyuo vikuu • Itachunguza utata wa mikopo ya wanafunzi na Happiness Mtweve, Dodoma RAIS Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Twendako giza, Maoni VIONGOZI wakuu wa nchi wamefikia mahali sasa hawaambiliki. Ushauri wa kitaalam waliopewa juu ya uboreshaji elimu waliupuuza; wakakumbatia siasa ili wajisifu. Mzaha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo kutinga kortini kwa kutowadai wakopaji Mtanzania Sunday, 06 February 2011 21:54 Daniel Mjema,Moshi WAKILI mashuhuri wa kujitegemea nchini, Albert Msando amesema anakamilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kufanya Research ya Mabadiliko ya kila mara ya bei ya Korosho. Nisaidieni, Research topic/Tittle niiwekeje?!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
:sad: ujue kuna vichwa vibovu vingi kibongo bongo but vinazidiana ubovu. Suala la waziri wa elimu kwenda kukaa na wasomi wa chuo kikuu cha Dar halafu akashindwa kuongea nao jambo la maana kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Professor Michael Sandel presents a lecture from his Harvard course in Political Philosophy. He explores the morality of murder and asks if there can ever be a case for killing. Theme nzima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha SAUT, tawi la Mwenge wameingia kwenye mgomo wao rasmi toka asbui wakishnikiza kutekelezwa kwa madai yakiwemo ya kucheleweshewa hela ya kuikimu. Source, wanachuko.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Toka jana nipo Mbeya. Muda si mrefu nimepita mbele ya geti la chuo cha Theofilo Kisanji University Mbeya. Nimeona kuna FFU wanarandaranda ndani ya eneo la chuo huku baadhi ya wanafunzi wakikimbia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WADAU NISAIDIENI NIMEKWAMA MWENZENU,NATAFUTA MFADHILI ANILIPIE ADA TUU,TAFADHALINI NISAIDIENI NI ADA YA MASTERS NASOM HAPAHAPA BONGO I berg I berg
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakati wanafunzi wa udsm wakiwa wanajaribu kuusubili ujio wa waziri wa elimu chuoni hapo, hali ya utulivu bado si ya kiwango cha juu kwani kumekuwa na maandamano ya hapa na pale kuzunguka maeneo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I'm wishing u all the best and success in ur national examinations (NECTA). God bless You my young broz & sisters.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ilikuwa ni jambo la aibu na fedhea kubwa pale vijana wanao jipendekeza katika tabaka tawala na ambao elimu yao haijawakomboa hapa UDOM baada ya kuzomewa kwa sauti kubwa zikisindikizwa na ma...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wapendwa wangu wote wa jamii forum.Leo ningependa kidogo tushirikishane kuhusu hii migomo ya wanafunzi wa elimu ya juu au vyuo vikuu. Kwa sasa kwa ukweli limekuwa ni donda ndugu ambalo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za KI-Intellegence: MATOKEO KIDATO CHA NNE NI STANDARDIZATION YA MATOKEO HALISI BAADA YA WANAFUNZI KUFELI KUPITA KIASI. HABARI NILIZO ZIPATA KUTOKA SOURCE MOJA ILIYOKUWA KWENYE...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Kwa wale tuliosoma IST.....mpo? hebu tukumbushane....i do hope tutakuwa wachache humu.....
0 Reactions
53 Replies
7K Views
John Nditi Daily News; Tuesday,June 10, 2008 MAFANIKIO ya maendeleo yawe ya kijamii ama kiuchumi kwa taifa lolote lile duniani, hayawezi kupatikana pasipo watu wake kuwa na elimu ya kutosha na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…