Jitihada
Senior Member
- Feb 6, 2011
- 155
- 10
Wakati wanafunzi wa udsm wakiwa wanajaribu kuusubili ujio wa waziri wa elimu chuoni hapo, hali ya utulivu bado si ya kiwango cha juu kwani kumekuwa na maandamano ya hapa na pale kuzunguka maeneo ya chuo kwa lengo la kuonyesha mshikamano wa pamoja. Baadhi ya wanafunzi wengine walio wachache wameonekana wakiwa wapowapo tu hasa katika viunga vya chini ya mdigrii huku wakisubili kitakachoendelea