Kumekucha Mbeya: TEKU wagoma, FFU wawapiga mabomu na kuchukua baadhi yao

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Wimbi la migomo na maandamano sasa limetua Mbeya. Wanafunzi wa Chuo cha Teofilo Kisanji (TEKU) jioni hii wamegoma na kuandamana katika maeneo ya Chuo chao hali ilyowaklazimisha wazee wa Intelijensia kuwazima maandamano hayo kwa maboumu na hatimaye kuwachukua baadhi yao hadi kwenye kituo cha polisi central kwa mahojiano zaidi.
Madai ya wanafunzi waChuo hicho kilichopo eneo la Block T Soweto hapa Mbeya ni kucheleweshwa kwa boom na kutaka Mwalimu mmoja jina nalihifadhi kwa sasa aondolewe chuoni hapo.
My take: Haya mabomu ya polisi mwaka huu yataigharimu sana serikali labda kama ni costless.
 
Mtaje huyo mwalimu kwani hakunasiri hapo ikiwa wanafunzi walishamtaja.
 
Anaitwa Zotto,bahati mbaya najua jina moja,ni muhitimu wa Udsm,alishafanya kazi Green acres,udsm udom, pia st john dodoma akafukuzwa hapo then Teku nako ameleta timbwili tena,mfupi iv na mtu wa sifa sn na matusi kwa sn
 
Asante kwa kunisaidia. Ni huyo Mwalimu anayelalamikiwa
 
Back
Top Bottom