Wale wa IST wenzangu mpo?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Kwa wale tuliosoma IST.....mpo? hebu tukumbushane....i do hope tutakuwa wachache humu.....
 
Dogo unapenda sana makuzi..mwangalie kichogo kile kaa ncha ya shoka!
mpemba sidhani kama umesoma IST.......acha niwatafute mate wangu.....
.....lol ina maana JF woote mmesoma shule za msondo?
 
mpemba sidhani kama umesoma IST.......acha niwatafute mate wangu.....
.....lol ina maana JF woote mmesoma shule za msondo?

KWENYE hii thread kuna INPUT yeyote...?

Kama hamna INPUT itabidi MODS muiwasilishe hii thread kunakohusika..kule Jokes/Utani/Ushambenga
 
KWENYE hii thread kuna INPUT yeyote...?

Kama hamna INPUT itabidi MODS muiwasilishe hii thread kunakohusika..kule Jokes/Utani/Ushambenga
mpemba mboni una mind......kausha nawasubiri mates wenzangu nyie mbon wa same sijui na zile shule gani nimezisahau mmekumbushana.....?
 
Bwana eh, iache tu hii thread ni very important!! takwimu tu zitaonyesha kuwa majority yetu ndio walewale wa nchini ya muti.

Wengine wa Mavurunza, Mengwe, Shemsanga, Airwing nk.

Yoyo uko mwenyewe, kazi kwako kujikumbusha
 
St.Abdallah,St.Juma,Mchikichini shule ya msingi,wengi sana Mtendeni primary school kwa mkanda,IST =Igunga .........................
 
Kwa wale tuliosoma IST.....mpo? hebu tukumbushane....i do hope tutakuwa wachache humu.....

Aise Yo Yo kumbe unatisha..nilikuwa nadhani na wewe ulisoma shule ya Sikinde kama mimi kumbe na wewe ulikuwa kulee wanakopelekwa na magari asubuhi na kurudiwa na madreva jioni...duuhh..si haba mkuu...Hongera bwana.

Humu wenzako watakuwa wachache akina Game Theory na FMES-Lol!
 
Ah..huyu anatafuta ujiko tu inawezekana kaishia la saba huko kwao Karagwe..hebu msome hapa, hii dalili kweli ya mtu aliyesoma IST?

Yo Yo said:
what's haapenin shishi......check ur PM.....

Inaonekana lugha gongana na chances are high kwamba hata HATI zake zinapandana.
 
Aise Yo Yo kumbe unatisha..nilikuwa nadhani na wewe ulisoma shule ya Sikinde kama mimi kumbe na wewe ulikuwa kulee wanakopelekwa na magari asubuhi na kurudiwa na madreva jioni...duuhh..si haba mkuu...Hongera bwana.
hapana mkuu.......mbona kawaida tu...ila sijui kwanini wazazi hawawapeleki watoto wao pale wakapate elimu bora...mpaka namaliza grade 10 weusi tuikuwa 6 kati ya 25 darasani.....

....lkn ni shida kwa kweli nilipokuwa narudi mtaani.....
 
Ah..huyu anatafuta ujiko tu inawezekana kaishia la saba huko kwao Karagwe..hebu msome hapa, hii dalili kweli ya mtu aliyesoma IST?

Inaonekana lugha gongana na chances are high kwamba hata HATI zake zinapandana.
mpemba sikuzaliwa ndani ya kingereza nimeanza kuongea grade 1......hata wazungu wanachapia......mbona waswahili tunachapia kiswahili pia? after all kusoma IST sio ujiko sana naona kawaida sawa na aliesoma Dole secondary...
 
mhh sijui..mbona GT kakaa kiswahili swahili sana?

Mkuu, shauri lako..mwenyewe akija humu..sijui utatokea wapi..

BACK to the topic..Unajua mkuu..baada ya kufika nilipo..ndo nimegundua wengi tunakosa maendeleo partly kwa sababu ya kutokuwa na information sahihi. Personally IST nilijua ni shule za Vibopa tuu..sisi watoto wa wakulima haturuhusiwi hata kukatiza getini..lakini it seems kuna uwezekano wa mtu kupata chance/scholarship on merit (you can shade more info. on this). Same applies..hata vyuo vya maana nje..wengi wanaogopa kuomba kwa sababu ya woga kwamba hawatachukuliwa..kumbe ukihangaika..some one might see your grades and take you onboard.

In all, nisingependa mtoto wangu asome nilikosoma (mazingira magumu na mustakabali wa future haueleweki..duh..sijui tulitokaje kule..) ....bwana weee!
 
Ah..huyu anatafuta ujiko tu inawezekana kaishia la saba huko kwao Karagwe..hebu msome hapa, hii dalili kweli ya mtu aliyesoma IST?

Inaonekana lugha gongana na chances are high kwamba hata HATI zake zinapandana.

Mkuu utakuta hawa hawa ndo hawakuwahi kupanda dala dala katika maisha yao ya shule..walikuwa wanachukuliwa na dreva..asubuhi na jioni..walipomaliza wakapelekwa kusoma IT India na Malaysia (maana vigogo wengi watoto wao wamesoma huko)...
 
Wewe IST wapi? Masaki au Upanga? Mie nisingeiweza kusoma, mie na ilk yangu tulikuwa tunafantasize kuja kuokota vitenesi vilivyokuwa vinaruka nyavu za watoto wa mabwanyenye na mabalozi (Come to think of it the Oracle of Omaha itself got it's start selling golf balls in much the same way, perhaps had I acted on those fantasies I would now be in a position to be called "The Oracle of Dar!"). Halafu kuishia navyo uwanja wa barafu na kijiwe cha Harlem, usiombe ukutane na Makwaza tisha toto.

IST enzi hizo, siku hizi nasikia imekuwa kama academy fulani tu.
 
Back
Top Bottom