Kwa Masters Holders Only; RESEARCH PROPASAL!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Nataka kufanya Research ya Mabadiliko ya kila mara ya bei ya Korosho. Nisaidieni, Research topic/Tittle niiwekeje?!
 
Bei ya korosho haiko regulated by "forces of demand and supply"?,

huwa serikali inaingilia kupanga bei?

Ukiwa unajibu hayo maswali, basi pia jaribu kuweka kwa undani zaidi, mambo gani unategemea kuyafanya kwa hiyo research au What information/knowledge will be likely generated by that research work". Ukiweka wazi haya yote, utapewa title nzuri. In fact unaweza ukajitengenezea title yako wewe mwenyewe.
 
Suggest your title so that we could contribute our ideas. Most importantly, give us a snapshort of your research problem.
 

Dah
yaaaani unatoka mkwala kwa eti masters holders only
alafu unauliza tiitle tena ya proposal ikaeje.

Ukikamliza kuuliza tiitle ya proposal si utauliza na introduction na scope na objective zikaeje ????


Mkubwa uliruka kutoka forma 4 na kwenda master moja kwa moja
.??

Nimechoka kabisa .
Halafu tunakesha kuwalaumu wanasiasa na kumbe na wa ni hivi hivi. ana submit project hata tiitle sio wazo lake.
 
Back
Top Bottom