Wanafunzi wa chuo cha TEKU Mbeya wamkataa mwalimu

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Toka jana nipo Mbeya. Muda si mrefu nimepita mbele ya geti la chuo cha Theofilo Kisanji University Mbeya. Nimeona kuna FFU wanarandaranda ndani ya eneo la chuo huku baadhi ya wanafunzi wakikimbia. Baadhi ya wanafunzi wanawazomea na kuwatania FFU wakidai wamemaliza form IV juzi na hiyo ndiyo ajira yao ya kwanza. Inadaiwa wanafunzi wa education mwaka wa tatu wanamkataa mwalimu kwa jina la Nzoto kwa kuwa amekuwa akifundisha kwa kutumia lugha chafu (kama mna.irwa n.k.) dhidi yao pamoja na chuo. Nasikia mwalimu husika anafundisha somo fulani la Population na pia ni hodari wa kupenda matiti. Inasadikika chuo kinamtetea jamaa maana bado kinamhitaji. Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom