Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

kwasababu wanatoa hahadi alafu hawatekelezi,mfano kujenga nyumba za walimu ambazo ndiyo ni sababu ya waliomaliza chuo na hawaendi kufundisha ukiwauliza hakuna maitaji,mfano mwingine vifaa vya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mara yangu ya kwanza Tanzania chuo kinafungwa sababu mkuu wa chuo na walimu wahihitilafiana wanafunzi waahirisha masomo.naomba ufafanuzi kwa wanaoelewa jambo hili
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Baada ya wizara ya elimu kuridhia uanzishaji wa shule za binafsi na kuona utitiri wa shule zisizo na ubora sasa hali hiyo imehamia kwenye vyuo vikuu.sasa hivi kuna vyuo vikuu miundo mbinu yake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wandugu naomba kufaham mchanganuo wa pesa inayolipwa bodi,make nasikia ya meals and accomodation huwa hairudishwi HESLB,nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Computer is an electrical machine capable of installing and processing large amount of data or information and performing calculation and other things.Computer as computer can be used as the good...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Nimeona katika jamii yetu watu wengi wanatapeliwa kwa kutokujua nani anafanya ni nini,ningeomba kila mtu aelezee japo kwa ufupi proffesion yake,for example im a teacher my work is teaching primary...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana napenda kuileta mada hii ili 2weze kuijadili kwa uwazi na zaidi; Mikopo ya vyuo vya elimu ya juu nchini kuwa inatolewa na vyuo usika, je ? itakuwa suluhisho katika uta2zi wa migogoro...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Mimi niliwahi kusikia juu ya hii miradi miwili Singida 1.Kuanzishwa kwa UNIVERSITY OF SINGIDA 2.Kujengwa kwa HOSPITALI YA RUFAA YA SINGIDA. Kwa kuwa naamini hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Mimi niliwahi kusikia juu ya hii miradi miwili Singida 1.Kuanzishwa kwa UNIVERSITY OF SINGIDA 2.Kujengwa kwa HOSPITALI YA RUFAA YA SINGIDA. Kwa kuwa naamini hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI imetangaza kwamba wanafunzi wa sayansi za tiba waliopata udahili kwa ufaulu wa daraja la kwanza na la pili watasomeshwa bure.Mbali ya wanafunzi wa madaraja hayo, hata wale wa wenye ufaulu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunapiga kelele siku zote kuwa Taifa l Tanzania lina uhaba wa watu wa mahesabu na sayansi kwa ujumla. Kuna mtu yuko vijijini kanitumia sms nimwangalizie mwanae kachaguliwa kuendelea na masomo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani wana JF, tujaribu kung'amua hili... Hivi mgogoro unaoendelea Taasisi ya ustawi wa Jamii ni wa kisiasa? Na je, Wizara na top Oficials wengine (hadi JK) wanafahamu nini hasa chimbuko la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadogo zangu wale ambao mtaona Majina yenu hapa,Tafadhari Zingatieni maelekezo yafuatayo: 1.Kwa Wale ambao walisha Aplly mara ya kwanza : Kama Jina lako lipo katika Orodha Hii,Apply Upya na...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Eti waungwana... Bodi ya mikopo wanatoa mikopo kwa wale ambao ni fresh frm xul tu??? Nihabarisheni mlio karibu na newz
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Eti wadau wa JF watoto wanaobahatika kupitia Kayumba(shule za uma) na hawa wa St flan flan(private or english medium) je? Wanaleta Tabaka la utengano na Je Wakifika ni kweli Kayumba huishia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wanaJF! Kwa wale waliosoma vyuo vikuu hapa Tanzania haswa wakati utaratibu wa mikopo kupitia bodi ya mikopo, wataelewa hili jambo. Wakati wa kuingia mkataba na bodi, mkataba ulisema kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Clark's Sector Model (1950) There are four key industrial economic sectors: the primary sector, largely raw material extraction industries such as mining and farming; the secondary sector...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye information za kutosha kuhusu vyuo vikuu Malaysia hasa kwa upande wa Ada zao Intake za masomo zinakuaje? Requirements zao nitashukuru sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi naomba kujuzwa,hivi inawezekana kufanya mtihani wa kidato cha sita bila kuwa na credit(c) tatu za o'level?kwani nimeona orodha ya majina TCU ya watu waliokosa udahili wa chuo kikuu kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Are you sure this is not a bot? What language is this? O, wait, some experimental translation algorithms perhaps?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom