Kwa hili la urudishaji wa mikopo naona halijakaa sawa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la urudishaji wa mikopo naona halijakaa sawa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nzi, Aug 19, 2011.

 1. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 11,359
  Likes Received: 2,775
  Trophy Points: 280
  Salaam wanaJF!

  Kwa wale waliosoma vyuo vikuu hapa Tanzania haswa wakati utaratibu wa mikopo kupitia bodi ya mikopo, wataelewa hili jambo. Wakati wa kuingia mkataba na bodi, mkataba ulisema kwamba utaratibu wa kurudisha mkopo utachukua kipindi cha miaka 10 tangu uanzwe kukatwa. Sasa leo katika taarifa ya habari ya TBC1 nimemsikia waziri wa elimu akisema bodi imebadilisha utaratibu (ingawa taarifa yenyewe ilikua fupi na isiyo na mwanzo na mwisho) kwamba bodi sasa itakua ikikata asilimia 8 ya mshahara wa mdeni!

  Sasa nimejiuliza, hivi bodi imetumia utaratibu upi wa kisheria kubadilisha utaratibu bila kumhusisha mteja? (alieingia nae mkataba wa kupata mkopo)

  Wanasheria mnaweza kunisaidia katika hili tafadhali.

  Asante.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Hvi kumbe huwa zinalipwa kweli?
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 11,359
  Likes Received: 2,775
  Trophy Points: 280
  Zinalipwa kweli mkuu..mimi nakatwa kila mwisho wa mwezi Tsh. 50,300! Kwenye mkataba waliniambia ninapaswa kuwalipa kwa miaka 10 lakini nashangaa sasa wanakuja na kusema ninapaswa kuwalipa kwa kipindi cha miezi 65! Mbona hawajazingatia mkataba?

  Ndio maana naomba msaada wa wanasheria!
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hahahaha wewe ulidhani ndio ntolee!! hahaha
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Nafikiri ingebidi yawe makubaliano. Ila kama unajiweza kalipe tu deni lote watoto wasome.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  me nilidhan ni kama sadaka mkuu!
   
 7. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  utaskia wameka riba
   
Loading...