Salanga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 364
- 44
Habari zenu wanajf. Mimi niliwahi kusikia juu ya hii miradi miwili Singida 1.Kuanzishwa kwa UNIVERSITY OF SINGIDA 2.Kujengwa kwa HOSPITALI YA RUFAA YA SINGIDA. Kwa kuwa naamini hapa JF ndipo jamii inapokutana ,naomba wenye taarifa za maendeleo ya miradi hii wamwage hapa kwa manufaa yetu sote. Kwangu update ni muhimu kwa kuwa kwa njia moja au nyingine najipanga kuchangia kwa hali au mali katika miradi hii miwili yenye uhusiano wa karibu kabisa.