Utitiri huu vyuo vikuu vya kibubusa tanzania hadi lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utitiri huu vyuo vikuu vya kibubusa tanzania hadi lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nancheto, Aug 22, 2011.

 1. N

  Nancheto Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya wizara ya elimu kuridhia uanzishaji wa shule za binafsi na kuona utitiri wa shule zisizo na ubora sasa hali hiyo imehamia kwenye vyuo vikuu.sasa hivi kuna vyuo vikuu miundo mbinu yake hamna tofauti na vyoo,wahadhiri hawapo maktaba ndiyo usiseme!aghalabu vyuo hivyo
  hutoza ada kubwa wakijua kwamba bodi ya mikopo itatoa pesa hizo kwani kama si bodi vyuo hivyo vingekuwa marehemu siku nyingi.watanzania
  tunataka vyuo bora vyenye kutoa elimu bora
   
 2. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo una point. Lakini naona wakulaumiwa sio waanzishaji hivyo vyuo vya mtaani bali ni hiyo accreditation board ambayo ndio yenye final say
   
Loading...