Mikopo kutolewa vyuoni kutatatua migogoro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikopo kutolewa vyuoni kutatatua migogoro?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by saliel, Aug 22, 2011.

 1. saliel

  saliel Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana napenda kuileta mada hii ili 2weze kuijadili kwa uwazi na zaidi;
  Mikopo ya vyuo vya elimu ya juu nchini kuwa inatolewa na vyuo usika, je ? itakuwa suluhisho katika uta2zi wa migogoro ndani ya vyuo nchini!
  waungwana naomba kuwasilisha.
   
 2. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280
  Tusubiri tuone utaratibu watakao tumia kwani wamesema tu hivyo na utaratibu hasa utakao tumika huko vyuon haujajulikana hivyo tukijadili ni kama tunaangaika na box wakati malighafi iko ndani, lakini pia wasipokuwa makini wataongeza migomo vyuoni thou i do believe wameliona hili hawajakurupuka
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama hili litakuwa suluhisho...Uzoefu unaonesha kuwa vyuo vilishindwa kulipa posho za wanafunzi toka uchangiaji wa gharama za elimu ya juu ulipoanza miaka ya mwanzoni mwa 1990 hadi wakaamua kuunda bodi ya mikopo. Sana sana wametoa mwanya wa rushwa za hovyo hovyo huko vyuoni (ikiwemo unyanyasanji wa binti zetu). Mfano mzuri ni ugawaji wa vyumba vyuoni...walio kwenye mazingira ya vyuo wanaweza kusema kuwa vyumba vinatolewa kwa usawa??? IFM nasikia rushwa ya chumba inaanzia laki 2!!


  Mifano ipo mingi na uzoefu tunao wa kutosha...Bila kuangalia mfumo mzima wa kugharima elimu Tz tutakuwa tunarudi kwenye matatizo ya awali ya migomo na kuwafungia milango watu wanaohusika na fedha vyuoni.

  Mimi siyo mtabiri ila naamini kwamba bado wanatwanga maji kwenye kinu!!
   
Loading...