Wana JF, Naamini hili ni jamvi lililojaa watu waelewa, wasomi, na wenye upembuzi yakinifu. Katika kuhitimisha masomo yangu napaswa kufanya research. Nimeamua kuangalia THE CHALLENGES...
Jamani kuna mdogo wangu amemaliza Form six HGL mwaka juzi akapata Division 3 akiwa na principle tatu.Hata hivyo kulingana hali ya maisha kuwa ngumu niliamua kumtafutia kibarua amudu kujikimu...
Wasomi wengi tanzania hawana faida wala msaada wowote katika taifa letu. Isipokuwa kwa wanasiasa, Je kwa kuanzia vyuoni, nini faiada ya msomi wa leo? KIFANYIKE NINI MSOMI AWE NA NAFASI YAKE TZ?
Wandug nmemaliza 4m6 na nategemea kujiunga na chuo kimojawpo ila mpaka cc huw naskia2 kuhsu aslmia za mkopo ila cjajua iyo asilimia 100,80 au 20 ni tsh ngapi na jins znavyotumika kulipia gharama...
Kwa wale wanosubiri selection za vyuo kutoka Tcu na grade za mkopo kutoka bodi ya mikopo kuachiwa kati ya leo ama kesho
source. wadau wa ndani ya tcu and heslb
Habari zenyu wana JF?
Nimekua nikipata shida na wasiwasi mkubwa kwa elimu yetu ya Tanzania hasa kutokana na namna mbalimbali zitumikazo kuwapata wasomi wa shahada mbalimbali za elimu ya juu...
Wadau. Mi naona sasa ni wakati muafaka wa kujadili kwa kina kuhusu mtihani wa kidato cha pili kuendelea kuitwa wa Taifa. Hivi una mantiki kweli! We jiulize kama wanaenda wote kidato cha tatu...
Mimi nimesikitika sana watz wenzangu je nyinyi mmelipokeaje? Ishu ni kwamba wahadhiri walikuwa wanamadai ya msingi kwa uongozi wa chuo hicho kilichokuwa na sifa zamani lakini sasa kimegeuka...
SECOND SELECTION APPLICANTS TO PLEASEREAD
1. Introduction
Second round of application is officially closed. This roundwas for applicants who did not apply during the first round of applications...
Tatizo la upungufu wa walimu hapa nchini hususani shule za serikali linapelekea wanafunzi wengi hasa watoto wa wakulima kutofanya vizuri katika masomo yao na kuishia kufeli vibaya.
Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.