chuo cha ustawi wa jamii Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chuo cha ustawi wa jamii Dar

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by fakifuge2000, Aug 22, 2011.

 1. f

  fakifuge2000 Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mara yangu ya kwanza Tanzania chuo kinafungwa sababu mkuu wa chuo na walimu wahihitilafiana wanafunzi waahirisha masomo.naomba ufafanuzi kwa wanaoelewa jambo hili
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Vyuo vya kata hivyo utaumiza kichwa bure.
   
 3. k

  kionambal Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ukweli ni kwamba si kwamba wahadhiri wamehitalafiana na mkuu wa chuo. wahadhiri wamekuwa wakilalamikia menejimenti kwa uongozi wao mbovu kwani kutokana na sifa zinazotakiwa na NECTA kati yao watatu Mkurugenzi wa fedha na utawala, mkuu wa chuo na mkurugenzi wa mafunzo wote hawana sifa za kushika madaraka pale chuoni. pili wahadhiri walikuwa wakilalamikia uzembe wa chuo kutochukua hatua za makusudi kuandaa taarifa ya ithibati iliyopelekea chuo kusimamishwa kudahili wanafunzi wapya kutokana na ithibati uisha muda wake. tatu nyongeza za mishahara, malimbikizo ya mishahara na unyanyasaji wa wahadhiri uliyotawaliwa na ubaguzi. kwa hiyo wahadhiri wana mambo ya msingi waliokuwa wanapigania na ukitaka kujua ukeli ni report iliyoandaliwa na wahadhiri hao na kupewa mwenyekiti wa bodi ya magavana ya chuo hicho. sasa hivi wahadhiri hao wamesitishwa kazi kwangu mimi nimehudhunika sana chuo kikuu tangu lini kikafukuza wahadhiri kama kuku kama si chuki binafsi za viongozi wasio na sifa? nikwambie siri ukitaka kujua ukweli RAIS KIKWETE AUNDE TUME dhidi ya kuchunguza tuhuma za kufukuzwa kwa wahadhiri hao muhimu katika nnchi yetu. menejimenti ya chuo na bodi ya magavana wanaendeshwa na viongozi wa Wizara ya afya na ustawi wa jamii ndiyo maana wanapata kufanya mambo mabovu kama yale. mfano, sasa hivi wanasema wameajiri wenye sifa wakati si kweli kuna mwanadada mmoja ameajiriwa pale sasa akiwa amesoma degree kwa miaka minne badala ya miaka mitatu yaani alikuwa na carry forward na sup za kutosha je huyu ndiye mhadhiri mwenye sifa? JAMANI TUSIWE TUNADANGANYWA NA HAWA WATU WAALIMU WARUDISHWE! JE UNA NAMBA YA RAIS KIKWETE TUMJULISHE HILI?
   
 4. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Umeanza vema huku mwisho umeharibu huyu Kilaza hana maamuzi hata secretary wa ofisi ya kitongoji Msoga Chalinze hawezi wajibishwa na huyu mnayemwita Rais.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Hapa JK mnamwonea bure,kama ameshindwa kuongoza chama chake atawezaje kutatua matatizo ya chuo kikuu?ama mnamtafutia visa tu baba wa Msoga ama mnataka akimbilie kwa mjomba wake Obama ili akaishi ujombani?
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  wache wahitilafiane tu ndo vizuri................
   
Loading...