Mtihani wa kidato cha sita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa kidato cha sita

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Yusuphsabury, Aug 20, 2011.

 1. Yusuphsabury

  Yusuphsabury JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wana jamvi naomba kujuzwa,hivi inawezekana kufanya mtihani wa kidato cha sita bila kuwa na credit(c) tatu za o'level?kwani nimeona orodha ya majina TCU ya watu waliokosa udahili wa chuo kikuu kwa kukosa credit3 za form4 lakini wana principle mbili za form six,hii imekaaje bandugu!
   
 2. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapo walio resit lakini walikosea ku add sitting ambayo walirudia mtihani.
   
Loading...