Upungufu wa walimu shule za serikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upungufu wa walimu shule za serikali.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by G_crisis, Aug 23, 2011.

 1. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Tatizo la upungufu wa walimu hapa nchini hususani shule za serikali linapelekea wanafunzi wengi hasa watoto wa wakulima kutofanya vizuri katika masomo yao na kuishia kufeli vibaya.

  Serikali imekuwa ikitumia gharama kubwa kuwasomesha walimu katika ngazi tofauti kwa kutumia kodi za Watanzania lakini Walimu hao baada ya kuhitimu wengi wao wanakimbilia taasisi binafsi na kughairi kuwajibika katika shule zetu hizi(kayumba)

  Wewe kama GREAT THINKER unafikiri nini kifanyike ili tatizo hili lipate ufumbuzi???

  Nawakilisha mada.
   
 2. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Walipwe mishahara mizuri na wapatiwe mahitaji muhimu. Walimu ndo chanzo cha kila ki2 duniani.
   
 3. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  hiyo nayo fact,ila serikali yetu ipo bize na posho wa kuwatetea walimu hamna
   
 4. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Serikali iwaulize wenye shule binafsi kua hua inawafanyia nini waalimu mpaka wakimbilie huko!halaf serikali nayo iwafanyie hivohivo walim wake!
   
 5. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Bado wasomi ni watumwa kwa wana siasa
   
 6. S

  Spellan JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MASLAHI MKUU SERIKALINI NJAA TU! Mi mwenyewe mwalimu lakini nawaza kukimbia fani.
   
 7. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Sisi tunajenga shule zetu mijini, tuna install computers, mishahara minono, n.k.
   
 8. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  mkuu kwa kuwa ww ni mwalimu unaweza kufunguka zaidi nini kifanyike kusolve hili tatizo
   
 9. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  kama ni hv maskini wataendelea kuwa maskini kama gvt itaendelea kuchapa usingizi
   
Loading...