Kusitishwa kazi kwa wahadhiri kutokana na hila ya viongozi wa chuo hicho kunatoa taswira gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusitishwa kazi kwa wahadhiri kutokana na hila ya viongozi wa chuo hicho kunatoa taswira gani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kionambal, Aug 22, 2011.

 1. k

  kionambal Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi nimesikitika sana watz wenzangu je nyinyi mmelipokeaje? Ishu ni kwamba wahadhiri walikuwa wanamadai ya msingi kwa uongozi wa chuo hicho kilichokuwa na sifa zamani lakini sasa kimegeuka secondary ya kata. jambo la kwanza lililowauma wahadhiri hao ni chuo kusitishwa kudahili wanafunzi wapya kutokana na chuo kukosa ithibati iliyokwisha muda wake, pili Viongozi wa chuo hicho mkurungenzi wa fedha na utawala, Mkuu wa chuo na Mkurugenzi wa mafunzo wote hao hawana sifa zinazotakiwa na baraza la elimu ya ufundi NACTE mfano, Mkuu wa chuo (Principal) anatakiwa kuwa na PHD, Mkurugenzi wa mafunzo (DOS) anatakiwa kuwa na PHD, Mkurugenzi wa fedha na utawala anatakiwa kuwa Lecturer Mwenye masters na awe ametoa maandiko matatu (should publish) lakini wote hao hawana hizo sifa je kuambiwa ukweli ni kosa? pia wahadhiri walikuwa wanalalamikia nyongeza na malimbikizo ya mishahara yao zaid ya miaka kumi nyuma pamoja na ubaguzi na manyanyaso ya viongozi hao wasiojua utawala wa kidemokrasia wala sheria. Sasa wahadhiri wamefukuzwa na inasemekana wameajiri wahadhiri wengine wasio na sifa mfano, ukienda pale chuoni kuna dada amaajiriwa amesoma chuo miaka minne (4years instaed of 3 years sababu carry forwad) sas huyu anasifa au anasifiwa? wahadhiri hao kama ukitaka kujua ukweli wa mambo walisha wahi kumuandikia barua waziri mkuu tangu mwaka jana juu ya matatizo ya chu chao lakini hakuna la maana lililofanyika, na juzi to mwezi wa saba walimuandikia mkuu wao wa bodi ya magavana report yenye maovu na aibu ya viongozi wa chuo pamoja na matatizo ya chuo ili kupata suluhu lakuni kilichofuatia ni kutafuta watu waliotafuta nyaraka zilizoambatanishwa kwenye report hiyo na kuwapatia barua za kujiereza. sababu zilizowasitisha kazi wahadhiri hao eti ni kutotii amri ya uogozi wa juu, je utatii vipi uongozi kama uongozi wenyewe ni wa kidharimu? majungu, undugu, kulindana na kuteteana tokea Wizarani mpaka chuoni? JAMANI NASIKITIKA KUONA WASOMI WANARUDI MTAANI WAKATI BADO TAIFA NI CHANGA NA LINAHITAJI WATU WENYE KUPIGANIA HAKI KAMA WAO. MIMI NAWAPA POLE NA NASEMA FUATILIENI KESI HIYO UKWELI UBAINIKE. SOLIDARITY FOREVER!
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Papa kabla ya kuwahurmia hawa embu pita pale coet ukaulize wamekula vichwa vingapi alafu uniambie tuanze kuwahurumia wapi
   
 3. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Sijakusoma mkuu.
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kwani sababu ni kula vichwa au maslahi?
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Wasomi wa kweli hawawezi kurudi mitaani. Labda kama na wao walikuwa ni online type. Sana sana Chuo ndicho kitazidi kuwa bogus. Prof. Baregu walimkataa UDSM kwa sababu za kisiasa, yuko mitaani?
   
 6. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chuo gani tena hicho wakuu?
   
 7. T

  The Priest JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mtoa mada mbona hueleweki,ni chuo gani hicho tukusaidie,ila tambua,ukipeleka majungu kazini lazma ufukuzwe tu..
   
Loading...