Msaada kwenye viwngo vya mkopo(universities) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye viwngo vya mkopo(universities)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Pejokiss, Aug 22, 2011.

1. P

Pejokiss Senior Member

#1
Aug 22, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 165
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Wandug nmemaliza 4m6 na nategemea kujiunga na chuo kimojawpo ila mpaka cc huw naskia2 kuhsu aslmia za mkopo ila cjajua iyo asilimia 100,80 au 20 ni tsh ngapi na jins znavyotumika kulipia gharama za chuo hvyo naomba msaada jaman!

2. G

GHANI JF-Expert Member

#2
Aug 22, 2011
Joined: Feb 18, 2011
Messages: 685
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
Kiasi cha gharama inategemea na programme utakayo pangiwa, kwa wale watakaopata asilimia mia watakopeshwa kiasi chote kinachotakiwa na chuo, but kwa wale watakaopata less than 100% i mean 90%, 80% and so on watachangia the remaining percentage katika school fee, also accomodation na hela ya matumizi wote wenye vigezo wanapata 100%.

3. NEW NOEL

NEW NOEL JF-Expert Member

#3
Aug 22, 2011
Joined: May 21, 2011
Messages: 837
Likes Received: 110
Trophy Points: 60
Kwa uelewa wangu. Asilimia kwa upande wa mikopo zinakuwa katika upande wa tuition fee tu. Mf. Kama bodi ya mikopo imesema itakupatia mkopo kwa 90% inamaana watakupatia ada kiasi cha asilimia hizo. Ila upande wa accomodation,meals na stationery hivyo utolewa kwa usawa kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu.

4. M

Moesk Member

#4
Aug 23, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
jamani naomba kujuzwa make inasikitisha sana kwamba kwa wale wenye ufaulu wa stahiki yaan equivalent qualifications wanaopewa mkopo ni wale2 watakao soma ualimu wa sayansi na hisabati wa fani zingine kama law.bba.pub na zilizobaki wote hawatapewa inasikitisha sana coz wengine hawawez kuafford kujilipia watoto wa mapeasants da tz inapoelekea ngoja 2015

5. tata mvoni

tata mvoni JF-Expert Member

#5
Aug 25, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 540
Likes Received: 2
Trophy Points: 33

unadhani hiyo 2015 tutawafanya nini? maana mwaka jana tu! 2likuwa nao na hakuna tulichofanya zaidi ya kususia kupiga kura

6. Perry

Perry JF-Expert Member

#6
Aug 25, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

kwa hyo we unawasuport au?

7. P

Pepo Member

#7
Aug 25, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

jamani hebu zungumzieni masuala ya mikopo,hayo 2015 yana mada zake.
Kwa hiyo katika io 7500,wamejumuisha na accomodation?

8. Perry

Perry JF-Expert Member

#8
Aug 25, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280

pigia mstari.

Loading...