Elimu yangu na Tanzania. Nataka kuisaidia TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu yangu na Tanzania. Nataka kuisaidia TZ

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by abduel paul, Aug 22, 2011.

1. a

abduel paul Senior Member

#1
Aug 22, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wasomi wengi tanzania hawana faida wala msaada wowote katika taifa letu. Isipokuwa kwa wanasiasa, Je kwa kuanzia vyuoni, nini faiada ya msomi wa leo? KIFANYIKE NINI MSOMI AWE NA NAFASI YAKE TZ?

2. a

abduel paul Senior Member

#2
Aug 22, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kuna chuo chochote kina forums zinazojadili matatizo ya nchi hii? Na namna ya kuyatatua? Au Elimu inayopatikana ni ya kwenda kuombea kazi tu?? Mchango wako uko wapi msomi ungali ukiwa chuo pale ambapo unakilemba cha kusikilizwa.

3. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#3
Aug 22, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,126
Likes Received: 1,705
Trophy Points: 280
Jaribu kuedit uconnect title na thread yenyewe!

4. Mungi

Mungi JF Gold Member

#4
Aug 22, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
Just passing, I'll be back soon

5. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#5
Aug 22, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Hata sielewi hii thread yako imefanikiwa vipi kufika hapa.

6. A

ACTIVISTA Member

#6
Aug 22, 2011
Joined: Jun 17, 2011
Messages: 46
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
wasomi wa tanzana ni mambumbumbu wakiwa chuoni.... wamawzo ya kuisadia nchi ya nakuja baada ya kusota mtaani.. wakikosa ajira... hapa ndipo wanaanza kujikita kujadili matatizo ya nchi... wakiwa vyouni wanawaza kuongezewa posho na kuratibu migomo isiyokuwa na tija.... pindi wakiwa chuoni wanaheshimika na wanasikilizwa lakin ukimaliza we ni mwa tu, kile kilemba cha kuongea kinatoka.... so you got no where to go, no hwere to raise your voice....

7. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#7
Aug 22, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
we una elimu gani?

8. a

abduel paul Senior Member

#8
Aug 23, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Take ur time, the ones pass it they found sense in it, najua una amini siasa pekee itatukomboa, ipo Elimu hapa ni bunduki inayosukumizwa uvunguni kila uchwao na hali bunduki nxingine zinatengenezwa, vta hii ya maisha bora, itawezekana tu, pale ambapo waTz, Tutakumbuka kuacha silaha butu ya maneno (siasa) kwa muda,

9. a

abduel paul Senior Member

#9
Aug 23, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Mi nilidhani utashtuka kutoka usingizini? Maana kama nitakwambia nimemaliza la saba, utasema we chuo kikuu, nikisema chuo kikuu, utasema we chuo kitukufu, nikisema ni Masters we utasema una PHD, mwisho wa cku 2taulizana vyeti na kutaka kwenda kuvihakiki, hatari kuliko yote tutaulizana maswali ya hesabu, HUKU TAIFA LINAMEZWA NA WANASIASA, UNAONAJE TUKIDAI NAFASI YETU TUWA AMBIA, WE NEED 2 B RECOGNIZED, WE Want 2 claim bk our chances, wht hs failed 2 b sorted by politicians, shld b sorted by Education, nt everythng nid a wise thoughts, smthng nid principles & procedures, Una hoji Elimu yangu hali kuna waziri wa nishati alisema umeme ungewaka mfululizo mwezi July!! Kwnn alisema hv?,

10. a

abduel paul Senior Member

#10
Aug 23, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Ys Actv, Sasa pengine sisi tumechelea wkt ule tukiwa vxuoni, sasa tumepata mawazo haya, kuna namna yoyote ya juwabadili vijana wetu wangaliko vyouni kuanza kulitumikia taifa na jamii yao, hata wao wawe na faida sana, hawatakua na haja tena ya kuandaa maandamano kwani itakua stahiki yao, hata sisi wananchi na wazazi wenzangu tutawaunga mkono, kwakua sasa wanajadili na kupendekeza kuleta suluhu ktk taifa letu, wazazi na jamii tutajivuna tangu wangali vxuoni,

11. a

abduel paul Senior Member

#11
Aug 23, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 133
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Mi nilidhani utashtuka kutoka usingizini? Maana kama nitakwambia nimemaliza la saba, utasema we chuo kikuu, nikisema chuo kikuu, utasema we chuo kitukufu, nikisema ni Masters we utasema una PHD, mwisho wa cku 2taulizana vyeti na kutaka kwenda kuvihakiki, hatari kuliko yote tutaulizana maswali ya hesabu, HUKU TAIFA LINAMEZWA NA WANASIASA, UNAONAJE TUKIDAI NAFASI YETU TUWA AMBIA, WE NEED 2 B RECOGNIZED, WE Want 2 claim bk our chances, wht hs failed 2 b sorted by politicians, shld b sorted by Education, nt everythng nid a wise thoughts, smthng nid principles & procedures, Una hoji Elimu yangu hali kuna waziri wa nishati alisema umeme ungewaka mfululizo mwezi July!! Kwnn alisema hv?,

12. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#12
Aug 25, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
ka umeona ni jema basi kua wa kwanza kuanzisha movement.................

Loading...